HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Wadau mimi sijui kubet kwa official ways nielekezeni maana nimebet vichochoroni sana sasa nataka ni bet rasmi
Pitia huu uzi wote utaelewa tu mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau mimi sijui kubet kwa official ways nielekezeni maana nimebet vichochoroni sana sasa nataka ni bet rasmi
Mimi mwenyewe nime draw pesa jana up to now no pesa
Sent from my iPhone using JamiiForums
wanakupa withiin 48hrs but hii sheria yao mpya mpja ufikishe dola 320 ni sheeedah sizan kama tutafika
mkuu kwanini usibet kwenye makampuni kama marathon au unibet ambayo unabet kuanzia dola 1 kwa onlineiplay 8 leo wenichosha jaman et mpka nfikishe dola 320 ndo naweza kuzitoa daah hii n sheria mpya
ama
mkuu kwanini usibet kwenye makampuni kama marathon au unibet ambayo unabet kuanzia dola 1 kwa online
bonus ipo mkuu,kudeposit unajiunga kwenye website lao halafu unahamisha kiasi cha hela kutoka account yako ya bank kwa kutumia card(visa CARD)ukihamisha kiasi unachotaka iingie kwenye account yako kwenye website yao ndo unachagua timu zako,na options za kubet zipo nyingi sana kama mchezaji gani atafunga goli,timu gani itashinda,idadi ya magoli,magoli chini ya..........,magoli zaidi......ukishinda hela unatumiwa kwenye account yako ya website yao,ukiona wametuma ndo we unaitransfer kwenye account yako ya bank kwa kutumia card yako hiyo uliyotumia,kwahiyo ukiwa na internet unabet tu nyumbani.na ukishabet unafuatilia live mkeka wako unaendaje,kuna link nimeweka hapo juu nimeweka mkeka wangu wa mwezi huu wote na kuna mechi zinaanza leo,so timu niliyobet ikifungwa najua nimeliwa,ikipita nasubiri mechi zingine za kesho nilizobetsasa hizo unatoa pesa au kudeposit kupitia njia gani na je wanatoa bonus
Kama ntakuwa nimeelewa swal lako kuweka ela online c unatumia mpesa kama kuweka dau la kubetia kwa simu c unacheza na zile kutoa na kujumlisha zilizopemben ya kile kias cha elfu 2 paleUnajua mie huwa inanishinda kuweka dau kupitia mobile kwa meridian hadi niswitch kwenye web format.
Je wenzangu mwafanyaje
bonus wanakupa sh ngapbonus ipo mkuu,kudeposit unajiunga kwenye website lao halafu unahamisha kiasi cha hela kutoka account yako ya bank kwa kutumia card(visa CARD)ukihamisha kiasi unachotaka iingie kwenye account yako kwenye website yao ndo unachagua timu zako,na options za kubet zipo nyingi sana kama mchezaji gani atafunga goli,timu gani itashinda,idadi ya magoli,magoli chini ya..........,magoli zaidi......ukishinda hela unatumiwa kwenye account yako ya website yao,ukiona wametuma ndo we unaitransfer kwenye account yako ya bank kwa kutumia card yako hiyo uliyotumia,kwahiyo ukiwa na internet unabet tu nyumbani.na ukishabet unafuatilia live mkeka wako unaendaje,kuna link nimeweka hapo juu nimeweka mkeka wangu wa mwezi huu wote na kuna mechi zinaanza leo,so timu niliyobet ikifungwa najua nimeliwa,ikipita nasubiri mechi zingine za kesho nilizobet
nipo urusi na settings za site zipo kirusi au weka option ya translation ya browser yako utaona mkuuMbona wameandika kirusi?
idadi ya timu inavyokuwa nyingi ndo bonus inavyokuwa juubonus wanakupa sh ngap
idadi ya timu inavyokuwa nyingi ndo bonus inavyokuwa juu
hehehe mkuu hamna welcome bonus kama we unaogopa kutumia hela yako halafu ubet kwa hiyo bonus,navyojua kwa online bet ni kwa William hill website na inafanya hiyo bonus kwa U.S.A citizen onlynamaanisha welcome bonus
Ndugu zangu, leo english capital one cup, hizi ndo game za kupiga hela