Mnyasikoma
Member
- Oct 17, 2014
- 30
- 13
Nielekeze jinsi ya kujiunga na hiyo m bet ya voda,,,mkuu jamaa hawacheleweshi kama unavosema. Mi kila nikila kesho yake mida ya kuanzia sa 4 had sa 8 inakua mzigo ushaingia. Huwa wakichelewa nawapigia simu wanarekebisha fasta
Usoni sitazamiki kwa manundu ya mhindi jamani,kalamba mpaka ukoko,sina hata hamu kwakweli ila still aluta continue
Usoni sitazamiki kwa manundu ya mhindi jamani,kalamba mpaka ukoko,sina hata hamu kwakweli ila still aluta continue
Leo tunatoka hiv:-
Panionis
Besiktas
Metz
Fc Nurberg
Zote win
Stake 15,000 uchukue 289,000.
Nani atoke nani abaki wakuu hapo?
Niliwambia hapa jana, watu wameishobeka sana hii mechi na ya Atl Madrid
Usoni sitazamiki kwa manundu ya mhindi jamani,kalamba mpaka ukoko,sina hata hamu kwakweli ila still aluta continue
Mkuu hujaeleweka unacho semaoya wazee mikeka hawa jamaa wa mkekabet ni mambo mbaya yani hatari, kuna mtu keshajaribu?
nimerekebisha chief, angalia vizuri ilikuwa typing errorMkuu hujaeleweka unacho sema
Kama una maanisha huduma zao kwenye malipo wapo faster mno ni ndani ya dakika 5 unachukua mpungan
nimerekebisha chief, angalia vizuri ilikuwa typing error
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji12] hope one day ntafikaga hapaJuventus vs Bayern Munich 3+
Odds 2.20
Stake. 500,000
Possible win 1,100,000