Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Braza iko.... 2+ iko..... Wazuriiiiii wapigieeeeee..... Meridian wazembe sana.... Kwa online betting kapoteza wateja wengi kwa mazinguzi ya kwanza Servers zao ziko down, uwekaji na utoaji pesa mgogoro.... Ya nini pesa yako ikutese afu tena mara uliwe..... Asante mkekabet.comMkeka bet wana option ya 2±???
merdian wapumbavu sana ni bora waifunge website yao kwa sababu hakuna haja kama wkend ndo kuna game nyingi na ndo siku ya biashara ila wao ndo siku ambayo mtandao uko down nadhani hawako makini wameridhika sana hata maofisini kwao wkend mtandao uwa unasumbua na ni tatizo la mda sasa..
Mtoto wa nzi kuna option ya12 huwa unaitupia ina maanisha nini na ipo kampuni ganiBraza iko.... 2+ iko..... Wazuriiiiii wapigieeeeee..... Meridian wazembe sana.... Kwa online betting kapoteza wateja wengi kwa mazinguzi ya kwanza Servers zao ziko down, uwekaji na utoaji pesa mgogoro.... Ya nini pesa yako ikutese afu tena mara uliwe..... Asante huwa mkekabet.com
Hiyo option inaitwa double chance KunaM
Mtoto wa nzi kuna option ya12 huwa unaitupia ina maanisha nini na ipo kampuni gani
Na kuhusu kikapu nilisema sina nalolijua kuhusu kipapu huwezi kuniambia sijitambui eti kikapu kinachezwa live, ww ndio hujitambui unaelewa nini mtu akisema hana anachokijua kuhusu kikapu?
Nilipigwa European handicap - 3.....😀😀Duh hii ligi ilinipita sikuibetia, Mtoto wa nzi nipe matokeo!
Eennheeee halafu kuna hizo type za handicap naomba uzidadavue zipo nyingi mkeka bet huwa nashindwa kuzielewaNilipigwa European handicap - 3.....😀😀
Duh hii ligi ilinipita sikuibetia, Mtoto wa nzi nipe matokeo!
Mkuu, nipe matokeo ya biashara NBA. Kunasomeka this time, Maana kuna kipindi nilionaga chenga kama haieleweki. Plus uvivu wa kuamka usiku kucheza live nikaiweka pembeni kwa muda.
Nilipigwa European handicap - 3.....😀😀
Nimeweka mkeka nashindwa kuaplod hapa daaa ila kiufupi timu hizi hapaInawezekana ila Madrid haeleweki na anaecheza nae pia ni mbishi
Ukitulia sana kunasomeka kwa single game per night, ila ni kugumu kama ikitokea ukataka ku - accumulate.
Unatafuta nini uelekezwe??haipo mkuu nimeangalia nmeikosa
nimeangalia kwenye muhongozo wao wameandika TOTAL GOAL NUMBER ila kwenye option za mechi haipo...
Unatafuta nini exactly na katika kampuni ganihaipo mkuu nimeangalia nmeikosa
nimeangalia kwenye muhongozo wao wameandika TOTAL GOAL NUMBER ila kwenye option za mechi haipo...
option ya 2± mkeka betUnatafuta nini exactly na katika kampuni gani
Option ya 2± mkeka bet..Unatafuta nini uelekezwe??
Nenda kwenye over and under.. 2+ ni hii pale over 1.5Option ya 2± mkeka bet..