Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ku
ukifungua page yao uka click sms betting wanakuletea hizo fixture na odds mkuu. Sijui baada ya hapo inakuwaje ila kwa msaada zaidi wasiliana nao namba yao hii 0758606197
A hizo code column ya kwanza kabisa... Unatuma code ya mechi na code ya matokeo unayotabiri (matokeo code zake ni row ya kwanza kabisa)
 
Dortmund wanatabia ya kujihami watoe,ni bora ukawaweka Chelsea vs Stoke au hata Genk naamini Samatta hatokuangusha.
 
Southampton Win
Chelsea Win
Swansea Win
Sheff Wed Win
Elche Win

Leo hakuna timu za uhakika hasikudanganye mtu akili za kwambiwa changanya na zakwako
 
Soon na Mimi natimka meridian maana hawapo siriax na kaz

matak# kabisa hawa Meridian yaani website yao ni ya kichoko sana manina zao, wasipojirekebisha watapoteza wateja wengi sana" naomba mwenye mawasiliano yao aniwekee hapa.
 
maccabi netanya win @5.4
Zwolle under 2.5 @2.27
total odds 12
 
Ngoja leo nijaribu shabaha katika soka,

Makorokocho jazz band.

 
Southampton atapita na wengi sana leo... Nshabutuliwa na mapumbavu arsenal
 
Mamaaaaeeeeee..... Everton karudishwa.. Chelsea karudishwa... Soton kanyooshwa..... Yelewiiiiiii...... Naomba niwape dedikesheni nyimbo ya mheshimiwa Tema Amekoma iwafikie popote mlipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…