Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sijawahi kuona site mbozu duniani inayosumbua kama meridian hasa hasa siku za weak end kwenye mechi kubwa mwenye mawasiliano na abasi tarimba mwambieni awatimue kabisa hawa watu wasiotaka kubadilika nimejaribu kubet tangu asubuhi imeshindikana
 
ipo kinyume na maumbile mkuu,mkeka niliyoiwekaa imetusuaa ***** zake MERIDIAN, wafukuzwee tu..
 
Dah, swansea na wigan wameniharibia sherehe. Dah, ila siyo mbaya. By the way yalikuwa makorokocho.

Chelsea mmmmmh sasa ngoja nikuache milele maana mmmmh
Kesho nayo siku
 
Chelsea mmmmmh sasa ngoja nikuache milele maana mmmmh
Kesho nayo siku
Pole sana.
Hata hivyo upepo wa leo mbaya.
Timu nyingi zimetoa sare Na nyingine matokeo yamekuja kubadilika mwishoni kabisa . Ila sio mbaya mweke tuu kando.
 
Ubarikiwee meridian na huu upuuzi wako" umeninyima pesa hivi hivi,barikiwa
 
Atae kula leo mbabe kisengerema..... Mamaaaaeeeeee siku imetoa misare shaaaaazi

Mamaeee..! nilishtukia leo matokeo yatakuwa ya kijima. Nikakunuka na corner. Swansea kipindi cha kwanza kaenda bila kona. Kona 5 zimekuja kupigwa kipindi cha pili. Huku wigan naye goli limekuja sawazishwa dakika za 80.
 
Pole sana.
Hata hivyo upepo wa leo mbaya.
Timu nyingi zimetoa sare Na nyingine matokeo yamekuja kubadilika mwishoni kabisa . Ila sio mbaya mweke tuu kando.

Cute B umepotea sanaa... hauko kama nyoka mwenye makengeza....
 
valencia v atl. madrid 12 (1.33)
gijon v bilbao 12 (1.28)
atalanta v juventus 12 (1.23)
crystal palace v liverpool 12 (1.29)
westbrom v man utd 12 (1.3)
willem II v ajax 12 (1.23)
mainz v darmstadt 12 (1.26)

odds 4.31

nauwaza huuu mtoko wa kesho..... kama kuisha niishe kabisaaa kama sabuni
 
hahahhaah kama sabuni....

au mshumaaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…