Teja Junior
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 1,740
- 1,597
Chelsea Win
Pars Saint Germain Win
Real Madrid Win
Everton Win
Man City Win
Lecester City Win
Njia nyingine ambayo Naona lazima itoke hizo timu zibetie zipate goli tu Lazima zitapata
🙄Nilivyo ona ROOT kamuweka Chelsea tu nikajuwa kabisa hawezi shinda
Aisee...... umenikumbusha mbali ndugu yangu. Ila nipoCute B umepotea sanaa... hauko kama nyoka mwenye makengeza....
njooo bana uokoe jahazi....Aisee...... umenikumbusha mbali ndugu yangu. Ila nipo
Aaah wapi na wakati wewe u nahodha mzuri sana. Jahazi aliwezi zama ukiweponjooo bana uokoe jahazi....
Mkuu mbona unajinyima hela za bure?juve mpe win so as mains na ajaxvalencia v atl. madrid 12 (1.33)
gijon v bilbao 12 (1.28)
atalanta v juventus 12 (1.23)
crystal palace v liverpool 12 (1.29)
westbrom v man utd 12 (1.3)
willem II v ajax 12 (1.23)
mainz v darmstadt 12 (1.26)
odds 4.31
nauwaza huuu mtoko wa kesho..... kama kuisha niishe kabisaaa kama sabuni
Pole sana ndugu yangu ile option ya magoli Bundesliga imenitoa leo ila usumbufu wa meridianbet.co.tz daaa lakini nakomaa kesho mapema natoa sadaka kwa Mungu haikuwa rahisi kihivo aiseeweekend gundu sana.... mmechi nyingi mpaka unachanganyikiwa
😀😀😀😳😳Nilivyo ona ROOT kamuweka Chelsea tu nikajuwa kabisa hawezi shinda
Ila Chelsea nae ni jipu... Tena kijipu uchungu cha gotini ukikunja goti maumivu... Ukinyoosha maumivu... Ukikaa maumivuHahahahaha Jamaa lini kameweka. Chelsea akashinda
Chelsea siku alipofungwa na crystal palace darajani
Alininyima laki 5.40 since that day ..nilimuwekea vikwazo...kama USA na Northern korea wanavyofanyiana....kwa sasa hivi huwa sina presure
Mi vikwazo vya kiuchumi nimemuwekea Roma Galatasaray Psg man utd(timu yangu) Chelsea
PSG mbona mara nyingi hawazingui?Mi vikwazo vya kiuchumi nimemuwekea Roma Galatasaray Psg man utd(timu yangu) Chelsea
Nilijiuliza mara nyingine tena baada ya Cagliari peke yake akichana mkeka wangu wa asubuhi kabisa wakati Wolfsburg,Stuttgart,Bremen,Perugia na Novara wakicheka na nyavu.Nikaumia sana.Nikajiuliza tena Psg kachana,nikaja kurusha ngumi ya mwisho gizani hapo nikampata japo kiduchu kimilinda mtaji wangu.
In advance niseme,upepo wa saizi kaeni sana mbali na home odds zifuatazo kwa kuzipa win 1.41,146,1.62,