Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wanakupa withiin 48hrs but hii sheria yao mpya mpja ufikishe dola 320 ni sheeedah sizan kama tutafika

Kama ni bonus yes ila kwa hela za kwaida hiyo hapana. Hiyo ya bonus huwezi withdraw
 
iplay 8 leo wenichosha jaman et mpka nfikishe dola 320 ndo naweza kuzitoa daah hii n sheria mpya
ama
 
iplay 8 leo wenichosha jaman et mpka nfikishe dola 320 ndo naweza kuzitoa daah hii n sheria mpya
ama
mkuu kwanini usibet kwenye makampuni kama marathon au unibet ambayo unabet kuanzia dola 1 kwa online
 
sasa hizo unatoa pesa au kudeposit kupitia njia gani na je wanatoa bonus
bonus ipo mkuu,kudeposit unajiunga kwenye website lao halafu unahamisha kiasi cha hela kutoka account yako ya bank kwa kutumia card(visa CARD)ukihamisha kiasi unachotaka iingie kwenye account yako kwenye website yao ndo unachagua timu zako,na options za kubet zipo nyingi sana kama mchezaji gani atafunga goli,timu gani itashinda,idadi ya magoli,magoli chini ya..........,magoli zaidi......ukishinda hela unatumiwa kwenye account yako ya website yao,ukiona wametuma ndo we unaitransfer kwenye account yako ya bank kwa kutumia card yako hiyo uliyotumia,kwahiyo ukiwa na internet unabet tu nyumbani.na ukishabet unafuatilia live mkeka wako unaendaje,kuna link nimeweka hapo juu nimeweka mkeka wangu wa mwezi huu wote na kuna mechi zinaanza leo,so timu niliyobet ikifungwa najua nimeliwa,ikipita nasubiri mechi zingine za kesho nilizobet
 
Unajua mie huwa inanishinda kuweka dau kupitia mobile kwa meridian hadi niswitch kwenye web format.
Je wenzangu mwafanyaje
Kama ntakuwa nimeelewa swal lako kuweka ela online c unatumia mpesa kama kuweka dau la kubetia kwa simu c unacheza na zile kutoa na kujumlisha zilizopemben ya kile kias cha elfu 2 pale
 
bonus wanakupa sh ngap
 
namaanisha welcome bonus
hehehe mkuu hamna welcome bonus kama we unaogopa kutumia hela yako halafu ubet kwa hiyo bonus,navyojua kwa online bet ni kwa William hill website na inafanya hiyo bonus kwa U.S.A citizen only
 
Ndugu zangu, leo english capital one cup, hizi ndo game za kupiga hela
 
Mimi naogopa kweli kubet week iliyopita ilikuwa mbaya sana
 
mkuu hizo marathonbet na unibet haziitaji proof of identity kutoka kwa wateja wao kama wafanyavyo bet365 au bwin?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…