Psg sijamcheza huu msimu wa3 sijawahi kumcheza.... Psg nilimpa vikwazo pamoja na timu moja Kasimpasa Huracan Santos na recreativo huelva(ilikua segunda Spain) imeshuka zaidi.... Hapa kila timu ilininyima pesa ndefu sana... Mfano hawa recreativo huelva walibaki wao nipige13M anaongoza 3-0 half time.... Afu mfukoni nlikua na kama laki 3 flani...... Nkaenda kubutua walikuja ngwasuma villa Park..... najua asubuhi naamka na 13M.... Mamaaaaeeeeee kasawizishiwa 3-3.... Nilifuta kabisa.... PSG hivyo hivyo.... Kasimpasa..... Nilidelete kabisa.... Hata wacheze na nani siwapi.....PSG mbona mara nyingi hawazingui?
Nimeingia mkeka bet nataka niweke any team win au both team to score nashindwavictorjiwe natumia mkekabet.com.... Ila kampuni zote zinakuwa nayo kasoro M-BET
Hizo hapo.... Double chance ndio hiyo 12 any team win.... Halafu hiyo ya both team to score ipo chini ya half time full time.... Natumaini umensoma.... Kazi njeamNimeingia mkeka bet nataka niweke any team win au both team to score nashindwa
hahaaa, 13m??Psg sijamcheza huu msimu wa3 sijawahi kumcheza.... Psg nilimpa vikwazo pamoja na timu moja Kasimpasa Huracan Santos na recreativo huelva(ilikua segunda Spain) imeshuka zaidi.... Hapa kila timu ilininyima pesa ndefu sana... Mfano hawa recreativo huelva walibaki wao nipige13M anaongoza 3-0 half time.... Afu mfukoni nlikua na kama laki 3 flani...... Nkaenda kubutua walikuja ngwasuma villa Park..... najua asubuhi naamka na 13M.... Mamaaaaeeeeee kasawizishiwa 3-3.... Nilifuta kabisa.... PSG hivyo hivyo.... Kasimpasa..... Nilidelete kabisa.... Hata wacheze na nani siwapi.....
kujiunga na mkeka bet ile namba ya kumbukumbu ya malipo wanayosema ni ipi?Nimeingia mkeka bet nataka niweke any team win au both team to score nashindwa
mkuu kujiunga nafuata maelekezo ila kuna sehemu imeandikwa namba ya kumbukumbu ya malipo , unaingiza namba gani pale??Meridian nimewahama rasmi nimeahamia mkeka bet sehemu unayoweza kubet mda wowote
hapa mi natoka hiviLeo twende hivi hautajuta kuweka hela yako
Celtic win
Basel win
Juventus win
Barcelona win
Shaktar Donetsk win
Plzen win
Dinamo Zagreb win
Paok win
Az Alkamaar win
Ajax win
Feryenood win
Duh! Leo sisumbuki nakufuata ww nikiwini nitakujaLeo kuna wins nyingi kama ukipanga mkeka wako vizuri hela ipo nje njw
REAL G.Bussiness number ya MKEKA BET ni 238844 na Reference number yake ni 123458 fuata hivyo kwa kuweka kiasi kisichopungua 1000.Watakutumia sms ya kuwa akaunti yako ya MKEKA BET imeongezwa kiasi x na then watakupa password yako