Tumpe pole kama atakuwa ameenda samaki samaki na demu wake kwa hesabu kuwa kesho a/c yake itacheka.Kanjibhai kumla lazima upitie majaribu mengiInabid ukajifunze courz ya options zilizopo kwenye shet ili unapokuwa una bet ujue na maana zake....mkuu hapo umejifariji pole xana Anglia ucje ukachekwa kwa uongo
Me nmeweka ngumu kumeza nkampa juventus na Barcelona juve kashnda 2 frst half 1 second half 1 Barcelona 1st half 2nd half 2 vp hapo nakula mzgo au coz n mara ya kwanza ngumu kumezaMnaojua ngumu kumeza mtanisaidia
Game ya liver walianza kushinda crystal palace..lakini ushindi huo ulipatikana kipindi cha pili
Ambapo huwa inatakiwa ushindi uanzie kipindi cha kwanza halafu mgeni ndio achomoe..hii inamaana huwa wanaangalia vipindi vyote viwili...matokeo ya leo kwa ngumu kumeza upande wa liver na crystal palace....x-2
Ila wanaojua zaidi leteni data
Uliwapa option gani? Tuanzie hapoMe nmeweka ngumu kumeza nkampa juventus na Barcelona juve kashnda 2 frst half 1 second half 1 Barcelona 1st half 2nd half 2 vp hapo nakula mzgo au coz n mara ya kwanza ngumu kumeza
Inabid ukajifunze courz ya options zilizopo kwenye shet ili unapokuwa una bet ujue na maana zake....mkuu hapo umejifariji pole xana Anglia ucje ukachekwa kwa uongo
Uliwapa option gani? Tuanzie hapo
Maana kuna option nyingi za ushindi
hongera mkuuHatimaeeeeee
Inter
Lyon Malizia
Leo kalia 2.8
Kodi 491000
hivi we jamaa una dawa au nin? maana mara nyingi nakufuata kimya kimya ahsante lkn na wengn wote wenye mioyo hii...Juve
Inter
Barca
Liver
Kichuna hawa ndio wanakuhusu sasa.... Unaona baada ya kula ndio analeta mbwembwe.....Nina furaha teeeeleeee Leo muhindi Wa premier nimempiga kipigo kitakatifu....nimecheza ngumu kumeza..nimecheza timu tatu na zmetiki ml.24,000,000 kwa 5000
1.niliwapa wageni wawili waanze kufunga wachomoe wenyeji matokeo yabaki suluhu..yaani (a)Torino vs lazio,...(b) Marseille vs Toulouse
.... Hii ya liver nimempa apigwe alafu achomoe na kushinda...full shangweeerrr krsho asbhiiiii kibopaaaaa
Mifano ya matokeo ya mechi za Jana katika option ya halftime/ fulltime....
1; 1-1 inter millan Vs perlemo.
2; 1-X Torino Vs Lazio
3; 1-2 Everton Vs West Ham
4; X-1 West Bromwich Vs man U
5; X-X Dortmund Vs buyern
6; X-2 Cristal palace Vs Liverpool
7; 2-1 Panthinakikoa Vs PAOKI
8; 2-X galatasarai Vs instabull
9; 2-2 eibar Vs Barcelona.....
Fatilia hizo game utaona matokeo yake yalikuwa vp kipindi cha kwanza na cha Pili unajua maana yake
Tuko vizuri mbaba......hahaaa, mshkaji wako kichuna,.....
hope sasa hv mpo peace
Me jana Mainz 05 kanitenda aisee ye mwenyewe cna ham naeKaliwa yule hujaujua michezo huu wa seti kichaa au ngumu kumeza.... Yatamkuta kama yaliyonikuta na timu moja recreativo huelva sitomsahau kamwe.... Kama alienda kubutua kwa mintaraji atapata 24M... Atasimulia