Yumbayumba
JF-Expert Member
- May 31, 2012
- 1,240
- 850
Ww mbona unajichanganya mwenyewe ukibet kila timu ipate goli ww hujaibetia timu moja kinachotakiwa kila timu ipate goli basi ikiwa 1-1 umekula au yeyote afungwe ila na huyo anayefungwa apate goli hata ikiwa 7-1 umekulaOk mkuu swali ni hivi,
mfano Odds za Qpr na Derby ni 1.80 1.85 Je nampaje mmoja wakati nimeambiwa kila mmojawapo apate gori? na Madrid1.60 na Roma2.10 ni je utampa nani angali utabiri wako ni wa kila team kufunga? je wakifungana halaf uliyempa kazidiwa inakuaje? kwa aliyenielewa naomba anisaidie kuliweka sawa hili swali ama kunijibu msaada mtoto wa inzi
Akija jr wa hull city nae atasema hull city anashindaArsenal leo anashinda,
😱arsenal 300000/=, una moyo mgumu sana....... ila yote yawezekana katika yeye akutiaye nguvu, funga na kuomba aseee.... maana hesabu za wenger na wananchi wengine haziendi sawa kabisa anaweza weka kitu cha ajabu usiaminiJmn nataka kutia 300000 kwa hawa hapa Wolfsburg,Madrid & arsenal ...maoni yenu wadau plz
Asee yaani leo mimi namwamin arsenal asilimia nyingi saana I don't know why...😱arsenal 300000/=, una moyo mgumu sana....... ila yote yawezekana katika yeye akutiaye nguvu, funga na kuomba aseee....
Kama ana roho ngumu aweke mechi mbili tu ya madrid na ya wolsburg wote wawili waongoze vipindi vyote viwili alafu aweke hata 30000 tu asikilizie hela yake😱arsenal 300000/=, una moyo mgumu sana....... ila yote yawezekana katika yeye akutiaye nguvu, funga na kuomba aseee....
Ok mkuu swali ni hivi,
mfano Odds za Qpr na Derby ni 1.80 1.85 Je nampaje mmoja wakati nimeambiwa kila mmojawapo apate gori? na Madrid1.60 na Roma2.10 ni je utampa nani angali utabiri wako ni wa kila team kufunga? je wakifungana halaf uliyempa kazidiwa inakuaje? kwa aliyenielewa naomba anisaidie kuliweka sawa hili swali ama kunijibu msaada mtoto wa inzi
Ila punguza hela arsenal hawaeleweki wakienda 120 wanakuchania mkeka wakoAsee yaani leo mimi namwamin arsenal asilimia nyingi saana I don't know why...
Thanks kaka..Ila punguza hela arsenal hawaeleweki wakienda 120 wanakuchania mkeka wako
Inaitwaje Hii mjomba
Nakushauri mtoe Arsenal. Angalia ukiona vp lipia ukiona ovyo angalia za kuzpunguza
unaona hapo kwenye nyekundu mjomba hujaeleweka asee... ngoja nijaribu kuishughulisha halamashauri ya kichwa , sijui nimeelewa sawa ....unamaanisha qpr kupata goli hata moja odd yake ni 1.8 na odd ya derby kupata goli ni 1.85 , madrid kupata goli ni 1.6 na roma ni 2.10 , au !!!! jaribu kuchagua hizo timu then screenshot tuione tukueleze usiilipie ....maelezo kama hayajitoshelezi flani mkuu