Yumbayumba
JF-Expert Member
- May 31, 2012
- 1,240
- 850
Ushauri wangu punguza ambaye unamashaka nae zibaki hata 5 tia mzigoNaomba mawazo yenu ktk hii orodha tafadhali:
Arsenal Win
Blackburn Win
Wolves Win
Bristol rovers Win
Grimsby Win
Real Madrid Win
Wolfsburg Win.
Ipswich mm nakuongezea io mwingine awekeJamani mimi leo sipo vzr kila nikipiga ramli zinakataa naombeni timu 5 tu nitie mzigo nishapata timu tatu
Madrid
Wolfsburg
Cardiff
Niongezeni zengine mbili nibet na mm
Ahsante mkuu ngoja nijiridhishe kwanza kuhusu ipswich nitakupa mrejesho, nikimpitisha itabaki timu mojaIpswich mm nakuongezea io mwingine aweke
Kuna uwezekano mkubwa akashinda hii game labda azingue tu, mm namuweka bado timu moja tu nataka niweke 5000 game 5Poa ukimptsha au la njulishe
Muangalie burnley au MiddlesbroughKuna uwezekano mkubwa akashinda hii game labda azingue tu, mm namuweka bado timu moja tu nataka niweke 5000 game 5
Nipe timu mbili basi jamaa yangu nijazieMuangalie burnley au Middlesbrough
Dover Athletic.Jamani mimi leo sipo vzr kila nikipiga ramli zinakataa naombeni timu 5 tu nitie mzigo nishapata timu tatu
Madrid
Wolfsburg
Cardiff
Niongezeni zengine mbili nibet na mm
Huyo sina mashaka nae hata akichana mkeka sina lawama juu yake najua kajitahidi ila imeshindikana ila naamini atashindaWolfsburg kitendo cha kumfunga monchelabag ..nina imani leo atashinda 3_1
Muangalie Braintree au tranmereNipe timu mbili basi jamaa yangu nijazie
Yupo vzr enhee? Ngoja nimkague na yeyeDover Athletic.
Nimemcheki rekodi yake akiwa nyumbani hasa akikutana na team anayocheza nayo huwa anafanya poa.Yupo vzr enhee? Ngoja nimkague na yeye
Ww nae lugha zako hata sizielewiDuuuuuu labda ndo ulianzshe ww cc hua n umundan koz ndo watu hua wapo xriac na wanacho kfanya