Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hizo ndio option rahic ila odds chache sana labda uweke mpunga mref
 
Nying zilikuwa uhakika maana wachache ndio walikuwa wanaweza vuka 7
 
Mwenye lakuongeza au ushauri juu ya huu mkeka ....
Mmh hapo kwa Palmeras na zenit hao wote hawaaminiki, but worthy taking a risk.
Mi natembea hivi
freimunde
famalica
feirence
zote zinashinda naweka mzigo wa pasua kichwa tutaonana Kesho asubuhi.
 
Leo tusisahau 28+ maana jana zilitoa kwa Arsenal, Real madr na wolfs
 
Mimi natoka hivi kesho.EUROPA
 

Attachments

  • 1457536452913.jpg
    47.7 KB · Views: 37
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…