Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Duh,nimekosea kumuweka Brighton,coz gemu yake si rahisi ilikuwa nimuweke oxford,although anything can happen
 
DSTV

Dear Customer
Please note that all Arsenal matches have been moved to Cartoon Network to pave way for serious matches on the Super Sport channels. We apologise for any inconvienence caused.

Regards

Multi Choice
 
Timu hazitaki kufunga jameni besiktas na Rijeka zimetiki nasubiri Brighton,oxford na man city .
 
poleni sana mliowapa atletico binafsi nlikua nafanya analysis ya hii game asubuhi sikuona namna ambayo atletico anaweza akashinda ndani ya dakika 90 nlivooangalia odds kwenye meridian nliona ni fursa hii ilikua 3.36 kwa watu wa single bet mtanielewa ina uzito gani, nliweka stake kubwa isivo maelezo(ambayo sijazoea weka) nilishindwa kushare huku baada ya kuona watu wengi wameipa atletico licha ya maangalizo mbali mbali yaliyotolewana baadhi ya wachangiaji nliona nisije nkawa mchawi..
nlichojifunza odds ndogo sana za less than 1.40 zinahitaji analysis kubwa sana kabla ya kutia stake sa zingine ni vem kuachana na nazo
 
Duh .. Mikeka chaliiii.. Imetobokatoboka kama chujio la nazi khaaaa...... Hakika mapumziko mazuri.. Ningepigwa vibayaaa Man city rasmi nae anaingia Blacklist mpaka msimu ujao....
 
Wakuu naomba msaada kuhusu affiliate code kwenye supabet, najaza vipi?
hao supabets sina hamu nao niliweka mpunga adi leo sijauona ..namba customer care azipatikani .... Hapo kwenye code mm niliacha ivo ivo ikakubali
 
Sa hv itabidi tuanze kucheza over na under naona ndo option iliyobaki

Mfano jana nmecheza hivi sema ckuwa makini kwa oxford...
 

Attachments

  • 1458102324662.jpg
    16.3 KB · Views: 41
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…