1=under na 2=over
Wakuu nipeni msaada kwenye wire premier betting pale huwa ni over/under ya kila team au over/under ya jumla ya magoli yote?
Asante Kwa hiyo kama hapo 1 ni yes na 2 ni no?
Yaani mfano wire 2.5 hapo ukiweka 1 inamaanisha nini na 2 inamaanisha nini?

Leo kugumu tusubiri keshoBaada ya kutandikwa Na muhindi Jana, Leo naombeni analysis nitokeje....!?!
Kwa presha ya game... Zitafika...Wakuu game ya Barcelona haiwezi kutoa 4+? Ushauri
hiyo stake imefanya tumbo liungurume hasa ukizingatia idadi ya timu na hapo kwa juve mmmmh![4/4]
0079 16-03 22:45:00 Barcelona-Arsenal
Final Score 1 1.24
0081 16-03 22:45:00 Bayern Munchen-Juventu
Final Score 1 1.38
1250 16-03 19:00:00 FC Kobenhavn-Randers
Final Score 1 1.53
0132 16-03 20:30:00 Legia-Zawisza B.
Final Score 1 1.35
------------------------------------------
Total: 200000.00
------------------------------------------
Total odd: 3.53
Max payout: 706896.72
Combination count: 1
Poa mkuuKwa presha ya game... Zitafika...
Mkuu sikushauri uweke ya pointi 1.5 due to my experience huwa ni draw. Au kupigwa kabisa[4/4]
0079 16-03 22:45:00 Barcelona-Arsenal
Final Score 1 1.24
0081 16-03 22:45:00 Bayern Munchen-Juventu
Final Score 1 1.38
1250 16-03 19:00:00 FC Kobenhavn-Randers
Final Score 1 1.53
0132 16-03 20:30:00 Legia-Zawisza B.
Final Score 1 1.35
------------------------------------------
Total: 200000.00
------------------------------------------
Total odd: 3.53
Max payout: 706896.72
Combination count: 1
Mkuu sikushauri uweke ya pointi 1.5 due to my experience huwa ni draw. Au kupigwa kabisa
Huyu mchana nilimshauri asiweke point 1.5 maana huwa inatoa draw...mi point 1.5 huwa siweki coz huwa inazaa draw