Mie huwa nashinda Cashout bet Sana Leo nimejisahau kufuatilia online bet UK money za niliweka getafe Na eibar draw nikaeeka shalke to win both team to score Na entrech to win both team to score Na rennes to win bttscore Na auxerre to win btts ILA auxerre kapigwa 2-1 nilitamani nisingeweka Auxerre ILA niliweka 20pence return bado ilikuwa nzuri Na bet nyingine niliweka mongladbach to win both team to score nime lose hiyo Na middlesborough niliweka draw ILA rennes Na Utrecht imeshinda, Kesho nimeweka hizi Chelsea to win bttscore Na Bristol city Na Oxford to win both team to score 30pence Ina return £15:58 Na man city,Burnley,Na notts forest to win Na kufungana pia 30pence return £57.60 plz anayejua Mie nataka kujua over 1.5 Na over 2.5 maana yake Ni nini?
Goli 3 kwenda juuMie huwa nashinda Cashout bet Sana Leo nimejisahau kufuatilia online bet UK money za niliweka getafe Na eibar draw nikaeeka shalke to win both team to score Na entrech to win both team to score Na rennes to win bttscore Na auxerre to win btts ILA auxerre kapigwa 2-1 nilitamani nisingeweka Auxerre ILA niliweka 20pence return bado ilikuwa nzuri Na bet nyingine niliweka mongladbach to win both team to score nime lose hiyo Na middlesborough niliweka draw ILA rennes Na Utrecht imeshinda, Kesho nimeweka hizi Chelsea to win bttscore Na Bristol city Na Oxford to win both team to score 30pence Ina return £15:58 Na man city,Burnley,Na notts forest to win Na kufungana pia 30pence return £57.60 plz anayejua Mie nataka kujua over 1.5 Na over 2.5 maana yake Ni nini?
ndio kwanza sa 2,hii meridian bure kabisa
mkuu ice hookey za leo vipi?Sparta Rotterdam win
Tromso win
Bohemians win
Utrecht win
Nk Osijek win
Fc heidenhem win
Rangers win
Msk zilina win
Hapo ni Bayern,Wolfsburg,bunley,Atletico,sporting zote win.Hao wengine wape double chanceLeo twende hivi
Celtic win
Wolfsburg win
Bayern win
Sheffield win
Burnley win
Atletico win
CSKA Moscow win
Besiskas win
Panathiakos win
Sporting CP win
Feyenoord win
Caen win
Fc Porto win
Nyuki tupe asali za leo na sie tule pesaTimu za kiingereza si timu za kutegemea sana kwenye mkeka! Siri yangu ya kupiga hela huwa naingia goal.com naangalia games za sku hyo then na-click kila timu kuangalia form yake, head to head history na hyo timu pinzani na pia position ya hiyo timu kwenye table(msimamo) hapa inapata details za kutosha na kwa kila ligi namchukua mtabe anaecheza sku hyo especially akiwa nyumbani then nakuja kulinganisha na points alizopewa na muhindi nikikuta gap ni kubwa sana nampa win! Kwa kila ligi nikipata timu mbili kwa ligi tano nnakua na timu 10 zenye odds za kutosha then naweka hela ya kawaida ( eg 2000-5000) last weekend nmempiga muhindi laki4......fuata nyuki ule asali
Fanya hivyo uweke za leo tufate nyuki tule asaliTimu za kiingereza si timu za kutegemea sana kwenye mkeka! Siri yangu ya kupiga hela huwa naingia goal.com naangalia games za sku hyo then na-click kila timu kuangalia form yake, head to head history na hyo timu pinzani na pia position ya hiyo timu kwenye table(msimamo) hapa inapata details za kutosha na kwa kila ligi namchukua mtabe anaecheza sku hyo especially akiwa nyumbani then nakuja kulinganisha na points alizopewa na muhindi nikikuta gap ni kubwa sana nampa win! Kwa kila ligi nikipata timu mbili kwa ligi tano nnakua na timu 10 zenye odds za kutosha then naweka hela ya kawaida ( eg 2000-5000) last weekend nmempiga muhindi laki4......fuata nyuki ule asali
Ukifuatilia maelezo kwa kina utakutana na mzinga wa asaliNyuki tupe asali za leo na sie tule pesa
Kasugugu tupe odds zako sasa tuzifate muhindi anase kwenye ulimboTimu za kiingereza si timu za kutegemea sana kwenye mkeka! Siri yangu ya kupiga hela huwa naingia goal.com naangalia games za sku hyo then na-click kila timu kuangalia form yake, head to head history na hyo timu pinzani na pia position ya hiyo timu kwenye table(msimamo) hapa inapata details za kutosha na kwa kila ligi namchukua mtabe anaecheza sku hyo especially akiwa nyumbani then nakuja kulinganisha na points alizopewa na muhindi nikikuta gap ni kubwa sana nampa win! Kwa kila ligi nikipata timu mbili kwa ligi tano nnakua na timu 10 zenye odds za kutosha then naweka hela ya kawaida ( eg 2000-5000) last weekend nmempiga muhindi laki4......fuata nyuki ule asali