pyaaaaaaaa.chanaaaa
Wazee wenzangu nawashukuru sana tena sana kwa support yenu...
wazee wako safi leo, hali ingekua mbaya ungemwona Andybird anavolia
hahaha leo naona katusua mbaya mpaka katusahau wazee wenzake..
Wazee wenzangu nawashukuru sana tena sana kwa support yenu...
japo ushauri tuu ...leo nataka niweke elfu tano na predict 2+ game 15 ...vip mazee inawezekana maana muhindi simuwezi
sio final score mkuu...magali yapatikane mawili na kuendelea(2+) kila mechi ...kila option niwekayo naliwa nataka nijaribu hii niokoteokote vitimu 15 hivi... maana odds za 2= zinaanzia 1.09 hadi 1.40 sasa ukiweka chache hatufanyi showNdugu hizo ni timu nyingi sana tafuta timu vhache
japo ushauri tuu ...leo nataka niweke elfu tano na predict 2+ game 15 ...vip mazee inawezekana maana muhindi simuwezi
weka games 10 kwa 2+. Hii option ni nzuri sana
Yaani wakati chelsea wamepigwa kimoja, nilikua najishauri kuweka mzigo washinde na price ilikua 11/10 nimeunya unya mpaka wamerudi
mi hiyo ilinitokea game ya arsenal. Yani ukitaka ufaidi live beting kwanza kigogo apigwe mwanzoni halafu weka mpunga mrefu mpe dhamana utapata hela nzuri sana