Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

pyaaaaaaaa.chanaaaa
 
Attachments

  • 1408316922062.jpg
    1408316922062.jpg
    73.1 KB · Views: 126
Wazee wenzangu nawashukuru sana tena sana kwa support yenu...
 
wazee wako safi leo, hali ingekua mbaya ungemwona Andybird anavolia

Mkuu asante sana kwa kunikumbuka. Ila mimi sikubet baada ya kupoteza hela kwa man u, monaco,madrid.

hahaha leo naona katusua mbaya mpaka katusahau wazee wenzake..

Siwezi wasahau wazee jana nimeona mkeka wako ila sikuwa na imani na betting jana maana juzi ilikuwa hatari sana.

Wazee wenzangu nawashukuru sana tena sana kwa support yenu...

Hongera mkuu mimi naanza betting
 
japo ushauri tuu ...leo nataka niweke elfu tano na predict 2+ game 15 ...vip mazee inawezekana maana muhindi simuwezi
 
Ndugu hizo ni timu nyingi sana tafuta timu vhache
sio final score mkuu...magali yapatikane mawili na kuendelea(2+) kila mechi ...kila option niwekayo naliwa nataka nijaribu hii niokoteokote vitimu 15 hivi... maana odds za 2= zinaanzia 1.09 hadi 1.40 sasa ukiweka chache hatufanyi show
 
Wale wa primier bettibg weka na mba
51-2
52-1
59-2
Halafu tia 10,000/=
Inakuja 120,000 kwenye mega mix
Halafu mtanipa jibu

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Wazee wenzangu wa leo huu..,,
 
Attachments

  • 1408373641870.jpg
    1408373641870.jpg
    90.9 KB · Views: 87
nimedeposit hela toka juzi hadi sasa kimya nawapigia hata hawapokei,***** zao
 
Yaani wakati chelsea wamepigwa kimoja, nilikua najishauri kuweka mzigo washinde na price ilikua 11/10 nimeunya unya mpaka wamerudi
 
Yaani wakati chelsea wamepigwa kimoja, nilikua najishauri kuweka mzigo washinde na price ilikua 11/10 nimeunya unya mpaka wamerudi

mi hiyo ilinitokea game ya arsenal. Yani ukitaka ufaidi live beting kwanza kigogo apigwe mwanzoni halafu weka mpunga mrefu mpe dhamana utapata hela nzuri sana
 
mi hiyo ilinitokea game ya arsenal. Yani ukitaka ufaidi live beting kwanza kigogo apigwe mwanzoni halafu weka mpunga mrefu mpe dhamana utapata hela nzuri sana

Naam mkuu hizo ndo style yangu, nafanyaga kwa barca, psg, bayern munich na man utd ( ya Ferguson)
 
Back
Top Bottom