Jamani mbona mnachukiana tena, mi nashauri bora muwe mnaweka timu pekee, msiweke sh ngapi maana watu wanaweza waamini kumbe mmedilisha na kuweka kahela kadogo, wakajua mmepigwa kumbe wewe hasara umepata kidogo
3 down.. 5 to go
Bet won45mins: kenya vs guinea under 2.5
45mins:congo vs zambia under 2.5
Mkuu nilikufuata lakini naona Congo katuchania aiseeHaya bwana... Kabaki Zambia na Spain... Tukinyoooshwa poa....
Kesho nayo ni sikuMkuu nilikufuata lakini naona Congo katuchania aisee
kesho unatia mzigo wa sh. ngapi? ............Mm leo nimepumzika aise
Mtoto wa nzi tupia bc mkeka nami nile hata cku moja aiseeeUkitaka tuweke picha ZETU halisi... Mnakula sana..... Kuna raia wananifata inbox wakitaka picha sio namb.. Cha kwanza sina nidhamu ya uoga. Pili Naamin katika elimu yangu. Tatu ni mpambanaji... Sasaaaa naona humu imefika hatua watu wanataka kujua privacy za watu..... Nawashukuru sana ndugu na jamaaa wenye namba zangu na hamjaziweka humu... Asanteni... Nilikuwepo
mkuu hii option ya under 2.5 first half ipo meridian au kampun gani?sorryUshauri kwa wale wenye mipunga yao tafuta mechi yoyote unayoona ngumu alafu cheza under 2.5 goals first half, mara nyingi inatokea under 2.5 first half japo odds nindogo lakini ukiwa na mpunga mrefu unapata pesa yako safi yasiku....niushauri tu wajameni