Acha kudanganya watu unaweka laki 5 wakati unaweka buku jero NYUMBU ww1. Barcelona
2. Bayern
3. Burney
All over 1.5
Stake 500,000
nakufuata kwa barca na munich1. Barcelona
2. Bayern
3. Burney
All over 1.5
Stake 500,000
Uliweka Dau Tsh?kweli kabisa mkuu! Hata mie ndo zangu hizo kuchukua timu 2 au 3 na kuweka mpunga mwingi. Jana nimechukua leicester city, parlemo na avellino nikaweka dau kubwa na ki2 kimetiki.
hii Y maana yake nini mkuu?
barca anacheza na Atletico, wanakaza sana saa nyingine hawaeleweki wale, umempa over ya ngapi?Buyern ..over
Barca ..over
Rangers ..over
Celtic..over
Dundee utd..over
5000.....58521
hiyo itakuw ni ya 3 hatamim nmewap over ya goli zaid ya mawilibarca anacheza na Atletico, wanakaza sana saa nyingine hawaeleweki wale, umempa over ya ngapi?
Atletico wana ukuta mgumu na hawana fowadi nzuri (hii inafanya kufungika ngumu na kufunga ngumu pia), barca wana fowadi nzuri ila wametoka kwenye clasico na uchovu,hiyo itakuw ni ya 3 hatamim nmewap over ya goli zaid ya mawili
pole Sana Tata, Hujui nini unafanya .Nyumbu hasira zako mpelekee muhindi aliyekukula
pw pw mkuu but baca haitaj kupat chin ya goli 2 na atletic hawato itaji watok bila goli but ngoja tuone mkuuAtletico wana ukuta mgumu na hawana fowadi nzuri (hii inafanya kufungika ngumu na kufunga ngumu pia), barca wana fowadi nzuri ila wametoka kwenye clasico na uchovu,
goli tatu kuingia ni ngumu ila inawezekana...good luck
Acha kubet kijana... Acha kabisa
CHIZI hilo lipotezee bure...huenda halijui kwamba kodi inayokatwa kwenye betting ndiyo inayonunua dawa zinazotumika kumtibu huko MILEMBE alikolazwa.Wewe jamaa unamatatizo gani kichwani
ndio analipwa nayo mshahara.CHIZI hilo lipotezee bure...huenda halijui kwamba kodi inayokatwa kwenye betting ndiyo inayonunua dawa zinazotumika kumtibu huko MILEMBE alikolazwa.
pamoja sana mkuu."1Y" maana yake Home team wins lkn timu zote lazima zipate goli walau moja (both teams to score)
"2Y" maana yake Away team wins lkn timu zote lazima zipate goli walau moja (both teams to score)
Acha kutafuta umaarufu kwa kutumia nguvu na matusi, duanzi wew unaleta habari za ushoga humu umepotea njia nenda kwenye majukwaa yenye mada hizo.Unajua ukienda kijiweni ukakuta nyumbu yanakula madawa ukiwaambia wanatoaga majibu kama haya uliyotoa... Sasa nyumbu wewe naona imeshakuingia damuni, mbeleni utatoa utupu wako upate pesa ya kubet. We endelea hivyo hivyo
Matako yameoza hayoAcha kutafuta umaarufu kwa kutumia nguvu na matusi, duanzi wew unaleta habari za ushoga humu umepotea njia nenda kwenye majukwaa yenye mada hizo.