Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna watu mikeka yao ishachanika baada ya arsenal kufa na draw
 
QPR aliwahi nipa mihela sana maana alipewa odds 31 dakika ya 89 akatia goli nikala mpunga ila madrid akaumaliza uefa final
 
Kama site ipi mkuu vp ukishinda wanachukua mda gan kukulipa.. Na wanakulipa wapi

Paddpower, ladbrokes, bet365, coral ziko poa. willhill, skybet ( odds zao ni cheap kidogo)
Ukishinda wanakulipa either ktk acc yako au paypal na inachukua 3-5 days
 
Paddpower, ladbrokes, bet365, coral ziko poa. willhill, skybet ( odds zao ni cheap kidogo)
Ukishinda wanakulipa either ktk acc yako au paypal na inachukua 3-5 days

Nimeona ktk usajili pale wanahitaj taarifa za kadi.. Haiwezi athiri usalama wa akaunti yangu kweli?
 
Jamani eeh celtic huwa ni mbovu ugenini kwnye uefa hasa kwa timu ambazo ni underdogs...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…