Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

na vp ikitokea imechukua ht week hawajakutumia hela yako kwa akaunt yko kwa kampun kama bet365

Haijawahi tokea mkuu, unless uwe umefanya match fixing, eg: man utd 4/11 vs simba sc 100/1 , we ukaweka 10mil simba kushinda and then simba wakashinda, hapo watafreeze acc till wahakikishe
 
Haijawahi tokea mkuu, unless uwe umefanya match fixing, eg: man utd 4/11 vs simba sc 100/1 , we ukaweka 10mil simba kushinda and then simba wakashinda, hapo watafreeze acc till wahakikishe

Dahh kila nikijaza taarifa wanasema ijcorect arghhh
 
Mm nimechoka kwan gemu ya mwisho kulamba ni ya Chile na uholanz nyingine ni kupigwa tuu.......

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Dahh kila nikijaza taarifa wanasema ijcorect arghhh

Hakikisha kadi yako ipo Active kwa online transaction, mfano crdb huwa mpaka ukaombe waiamshe pamoja na benki nyingine ila nbc uko moja kwa moja yani card no. Inakua Active.

Halafu huku Bongo it takes 3 to maximum 10 days kwa pesa kureflect kwa account,it depends on clearing process.

Nenda kwenye terms and conditions cheki kama wanakubali watu wa outside europe,

Zinafanya mkuu ila achek na issuer wa debit card ili iwe activated. In europe mnaweza receive funds kwa PayPal acc zenu but tz is not possible mkuu. Thanks kwa kuwaelimisha vijana ktk utandawazi.
 
Mnaweza mkaunganisha na mechi za kesho wakuu kuna Bayern munich, PSG

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom