Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna mdau humu anapiga mpaka ligi ya vietnam, huku si kupoteza hela tu?? Hahah
 
Kuna mdau humu anapiga mpaka ligi ya vietnam, huku si kupoteza hela tu?? Hahah

Nadhani league ya vietnam yeye anaielewa.Yaweza kuwa nzur kwake kuliko mimi ninaye deal na league ya brazil!
 
[10:47pm, 21/08/2014] Baba Milcah: Austria - 1. Liga

Mattersburg
19 : 30
FAC Team für Wien

Austria Lustenau
19 : 30
Horn

Hartberg
19 : 30
Kapfenberger SV

LASK Linz
19 : 30
Liefering

St. Pölten
21 : 30
Wacker Innsbruck
[10:51pm, 21/08/2014] Baba Milcah: France - Ligue 2

Ajaccio
21 : 00
Tours

Angers
21 : 00
Châteauroux

Arles
21 : 00
Sochaux

Clermont
21 : 00
Gazélec Ajaccio

Créteil
21 : 00
Niort

Nancy
21 : 00
Nîmes

Orléans
21 : 00
Brest

Troyes
21 : 00
Laval

pesa keshooooo
 
mimi leo ndo naweka ila Russia sigusi maana zjnaangusha sana
 
Nimeweka dundalk,shamrock,corck city,bayer cap,psg,nancy

Nimeukopi huu wako.
Leo nimejaribu weka timu kubwa kubwa tu hadi 31/08/2014 nikawema 2500 inakuja 985,000
Sijaweka timu za epl maana mechi zao ngumu nimeichagua Chelsea pekee.
 
Nimeukopi huu wako.
Leo nimejaribu weka timu kubwa kubwa tu hadi 31/08/2014 nikawema 2500 inakuja 985,000
Sijaweka timu za epl maana mechi zao ngumu nimeichagua Chelsea pekee.

Mm hiyo mikeka ndio huwa inanitoa sana tena ligi zote zikiwa zimeanza sihangahiki na timu ndogo naweka mkeka wa timu kubwa wiki 2 unakuwa unapiga hela...unajua mara chache sana kukuta zinashindwa kushinda haswa kama zinacheza na vibonde
 
yan hapa ninapresha natamani nikalale natamani niangalie maana nimecheza under/over first half nimejilipua hela yoote kwenye a/c yangu ndo kwanzaa dk ya 15
 
Back
Top Bottom