Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Capturebuiguki.PNGjamani kumbe mrithi huzidi
 
Wakuu naombeni munitajie timu nzuri za hand cape kama tano,na za normal
 
Hahahahaaa polen wakuu acheni kuweka mikeka mirefu weka timu 2 tu zinatosha nina uwezo wa kuwa nawapatia timu 2 kila siku zitakazoshinda kama mtataka ntaweka hapa za kesho normal 2 na cap 2
 
Dah yaani huyu mshenzi PSG kachana zote, Real kamalizia yote pia
 
Wakuu natafuta tale Maelezo ya KuBet online ! Kupitia Meridia Toka Jana Sipati ! anayeweza tuwekea hapa atakua ametusaidia ! tupo wengi tunaouluzia.
 
Kituo Cha Meridian Arusha ! Kitaua watu kwa magonjwa ya kuambukiza kwa njia ya Hewa . ! Sehemu ni ndo mnoo kulinganisha na Idadi ya watu waliomo ndani.
AC haiwaki., hakuna sehemu hata moja inayopitisha hewa , no Ventilation , wala Dirisha hata moja ! Feni za juu ziko mbili tu , ambazo nazo ziko kwenye spidi ya moja.
Hewa ni nzito mfano hakuna , yaani ni kama Tube ya Chupa ya Chai..!

Tahadhari, pale kuna uwezekano mkubwa wa kuamvmbukizana Magonjwa ya Hewa , hususani ' TB' wahusika chukueni hatua
 
Nyie si wagumu...wanawapeleka ki-hiphop
 
Hebu tupieni hizo mikeka ya leo tuone maa a ya jana chali kisa psg na real
 
Back
Top Bottom