View attachment 335973
Nitakufuata baadae kwa sasa naanza hivi
hahh sawa mkuu umemuamini sana huyo mamawellWa Kusoma leo nasafiria nyota yako aisee ... nimecopy na kupaste (hadi stake 🙂), ila nimeongeza Motherwell vs Celtic (Over 0.5 Half time = odd 1.27)
hahh sawa mkuu umemuamini sana huyo mamawell
View attachment 335973
Nitakufuata baadae kwa sasa naanza hivi
Apo wa kusoma nataka kuupload mkeka wangu nafanyeje eti
Umeshaapload tayariApo wa kusoma nataka kuupload mkeka wangu nafanyeje eti
Jamani leo ni siku nzuri ya kupiga pesa mechi kibao zipo open
Wa Kusoma leo nasafiria nyota yako aisee ... nimecopy na kupaste (hadi stake 🙂), ila nimeongeza Motherwell vs Celtic (Over 0.5 Half time = odd 1.27)
Under and over 0.5 inamaana gani mkuuView attachment 335973
Nitakufuata baadae kwa sasa naanza hivi
[emoji15] [emoji15] [emoji22]Barcelona Lose Leo Jamani Haya!!
Tia pesa mkuu maana unatisha wadau alafu we unaamini kua analose tumia hiyo nafasi kupiga pesa ndefuBarcelona Lose Leo Jamani Haya!!
Una mfahamu Dotto wamisako?Mkeka mtamuuuuu ila ni wakujitoa mhanga
Muachage kuiba majina ya watu aiseeDoto ndo nani na wawapi?