Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hiyo option kaka ninatumia mkekabet ni half time over 0.5 yaan lipatokane goli moja au zaidi kwa timu zinazocheza
 
Wa Kusoma leo nasafiria nyota yako aisee ... nimecopy na kupaste (hadi stake 🙂), ila nimeongeza Motherwell vs Celtic (Over 0.5 Half time = odd 1.27)



Wa Kusoma, mtu wngu umetisha sana leo, nimetembelea nyota yako na nimepata zaidi ya 100,000/- km faida leo. Nakutafutia zawadi.

Stake = 50,000/-
Return = 181,692/-



 
Wa Kusoma, mtu wngu umetisha sana leo, nimetembelea nyota yako na nimepata zaidi ya 100,000/- km faida leo. Nakutafutia zawadi.

Stake = 50,000/-
Return = 181,692/-



View attachment 336085
Hahaaaaaaa! Asante sana kwa acknowledgement sio wale wa matusi, japo najua huwezi kunipa zawadi, yaani umenikopi mpaka stake
 
Jamani nipo naangalia hapa mpira wa Barcelona na Socied nimemsikia mtangazaji akitamka neno Tanzania alimaanisha nn?
 
Hahaaaaaaa! Asante sana kwa acknowledgement sio wale wa matusi, japo najua huwezi kunipa zawadi, yaani umenikopi mpaka stake
hakuna wa kulugukana tena. Nilikukubali tu pale ambapo hukupanic tuuuu
 
Hahaaaaaaa! Asante sana kwa acknowledgement sio wale wa matusi, japo najua huwezi kunipa zawadi, yaani umenikopi mpaka stake


Wa Kusoma, nilikopi na kupaste hadi stake na nilikuwa tyr km mkeka ungeenda tofauti. Sasa hefu fanya kurusha mwingine ...
 
Wa Kusoma, nilikopi na kupaste hadi stake na nilikuwa tyr km mkeka ungeenda tofauti. Sasa hefu fanya kurusha mwingine ...
Kwa siku ukila mara moja pumzika hata kama unaona kuna timu nzuri zaidi tena ikiwezekana faida itoe kabisa ukaitumie vinginevyo utairudisha yote. Mm leo nimeshafunga mpaka kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…