Peter Madukwa
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 3,139
- 2,488
Mwenyewe nimemkacha.. Ila nadhani anashinda tena cap
Mwenyewe nimemkacha.. Ila nadhani anashinda tena cap
hawezi hata kudraw yule celtic
Nimeona ktk usajili pale wanahitaj taarifa za kadi.. Haiwezi athiri usalama wa akaunti yangu kweli?
Mjomba website zote zipo secured, natumia zaidi ya 8 yrs
na vp ikitokea imechukua ht week hawajakutumia hela yako kwa akaunt yko kwa kampun kama bet365
Haijawahi tokea mkuu, unless uwe umefanya match fixing, eg: man utd 4/11 vs simba sc 100/1 , we ukaweka 10mil simba kushinda and then simba wakashinda, hapo watafreeze acc till wahakikishe
Dahh kila nikijaza taarifa wanasema ijcorect arghhh
Leo TottenHam vp ?
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Dahh kila nikijaza taarifa wanasema ijcorect arghhh
Nenda kwenye terms and conditions cheki kama wanakubali watu wa outside europe,
Leo TottenHam vp ?
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Leo mkeka twampa nani jamani
Villareal,spurs,dinamo moscow,panathinaikos,lyon,psv
Asante sana ila hii Panathinaikos huwa kiasi inaniangusha
Mtoe weka kuna mechi rahisi za sweden cup