Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Liwalo na liwe. Jamani tujaribu kuchambua hapa kama una mtaji chukua 3 tu lkn kama mtaji kidogo weka zote.

Achana na nani atashinda mimi naweka OVER 1.5
1. Olympiakos
2. Dinamo Zagreb
3. Sparta praha
4. Nurberg
5. Tottenham
 
Kwa kilichotokea jana kwa Barcelona naombeeni kitufundihse kwamba kuipa timu WIN na wakati hujapanga na kocha wala refa ni maumivu ya bure.

Nilichojifunza ni kwamba siku hizi hata makocha na wamiliki wa timu huenda wanaBet, hivi unategemea nini kwa pointi kama zile alizopewa jana Barca half timu afunge karibia pointi 6 inakuwa vipi timu nzima ikiamua kubet na kuahidi kulitafuta goli kipindi cha pili?

Aaa wapi! Mimi maswala ya win na loose nishaachana nayo labuda mara chache tu.
 


Wana jamvi, tafadhari tia neno kabla sijajilipua. Kama mbwai na iwe mbwai 🙂
 
Hahahahaaa sio kweli sipendi kumwambia mwanasport kua muongo nasema umesshau 2007 _na 2006
 
Iko mwake mkuu lipukaaaa


Tayari mkuu ila nimelegeza Stake, nimeweka 30,000/- 🙂 nasubiri na leo km ni "kekundu" ama nitapata sms kutoka ile namba 15739 (mkekabet) 🙂 🙂 🙂
 
Liwalo na liwe. Jamani tujaribu kuchambua hapa kama una mtaji chukua 3 tu lkn kama mtaji kidogo weka zote.

Achana na nani atashinda mimi naweka OVER 1.5
1. Olympiakos
2. Dinamo Zagreb
3. Sparta praha
4. Nurberg
5. Tottenham
Mkuu hii iko vipi ya over 1.5 mfano kwenye mkekabet
 
Hapa vipi wadau
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1460284485.385659.jpg
    174.3 KB · Views: 55
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…