Mkuu ila man utd sio ya kuiamini kivilenimtoe yupi wadau
Pia higuan hayupo alipewa red card mechi iliyopita ila mpe atashinda coz yupo home pia yupo under presure coz juventus jana ka win hvo lazma avte soks na yeyeMkuu achana na Napoli hatabiriki sku hizi if possible mpe draw
Nakuaminia sanaNiliwambia Barcelona anapigwa leo raia zikabisha hahahahahaha poleni eeeh ngoja kesho tukachukue mijihela kwa muhindi
Kuanzia 3 na kuendeleaWadau hivi over za mbet ni kuanzia goli ngapi
Wadau hivi over za mbet ni kuanzia goli ngapi
Kauliza over ya mbet hayo maelezo utamchanganya, mbet wana over ya aina moja tuOver ni kuanzia 0.5 maana'ke kuanzia goli moja.
Nyingine ni 1.5, 2.5, 3.5, 4.5 na 5.5
Kauliza over ya mbet hayo maelezo utamchanganya, mbet wana over ya aina moja tu
Mkuu mbona kwakutumia simu inagoma?http://live1.greenlie.org:8081/live...zPTIwJmlkPTE0MS4xMDEuOTkuNDImc3RybV9sZW49MTg=
mechi ya leicester city live..
Kwangu imekubaliMkuu mbona kwakutumia simu inagoma?
Natumia tecno c8unatumia simu gani