Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mnaweza mkaunganisha na mechi za kesho wakuu kuna Bayern munich, PSG

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Mm nina mkeka wa meridian umeanza mechi za jana mpk j3 nimeweka timu kubwa tu...kuanzia champions league,europa leo,bundasliga,ligue 1,premiership,eradivise,portugal na la liga.
 
Mkuu hebu uanike wote mi niukopi ka ulivyo

Huo kaka unacheza meridian...ww unaingia katika kila ligi unachukua timu kubwa tu..mfano ufaransa PSG,spain Barca,Madrid,atletico,england city,chelsea,portugal benfica na porto,germany bayern,dortmund,holland ajax,psv,feyeenood,ukiunganisha na mechi za europa leo mkeka umekaa vzr hata ukitupia 500 hukosi chin ya laki
 
Nimeona ktk usajili pale wanahitaj taarifa za kadi.. Haiwezi athiri usalama wa akaunti yangu kweli?

Shaka ondoa mkuu maana watu wanatupia ela za ukwel mpka dola m1 pia hyo kampun kk inadhamin vilabu vikubwa ulaya,hamna wakukuchukulia sent zako maana bet365 cjui cku hiz kama wameaca mwanzo walikuwa wanataka uwe na pasport watakupigia simu kuthibitisha ndo uwe mwanachama
 
Hivi hii mechi ya tottenham haionyeshwi super sport ? Naona muda ndo huu na sioni dalili ?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Jamani tottenham keshachezea huko tayari

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
mi leo nimesikilzia tu, nasubiria kesho game zangu za france league 2, ligi inayofaa kwa 2+

Mkuu hata mi leo naangalia kwa macho tu... Spurz kashakufa huko.. Kesho fanya kututumia huo mkeka mapema japo France nako hakueleweki
 
Daaa naona wamesawazisha inabidi waongeze manake noma

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Goool wamepiga la pili tottenham afadhali lol !

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Wadau kuna tabia moja inaendelea hapa sio nzuri, kwanini watu hawaaniki mikeka yao hapa ili tucopy?? Mnaweka mkishaumizwa hhahahahaha
 
Wadau kuna tabia moja inaendelea hapa sio nzuri, kwanini watu hawaaniki mikeka yao hapa ili tucopy?? Mnaweka mkishaumizwa hhahahahaha

Hahahaha nadhani wewe ndio huna tabia nzuri kutaka kukopy mikeka ya watu!
 
Hahaha mkuu mie legend ktk hii business, nataka kucheki tu je statistics zinaendana na wengine

hahahahah itabidi kuanzia kesho kila mtu awe anatandaza mkeka mapema ili ijulikane mapema ipi mbichi ipi mbivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…