Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Attachment ya kwanza yenye odds imefunikwa na nitification sikuona vzr.



 
Mkuu mimi naona straight win ya Basketball ni ngumu sana. Wewe huwa unatumia strategy gani? Tushirikishe angalau kwa ufupi. Huwa napigwa sana na straight win za basket mkuu
 

Haya mambo ya kuanikana namna hii na mabango siyapendi kabisa aisee
Sema ndio hakuna namna vigezo na masharti kuzingatiwa
 
Ukishinda bonus ni hiari yako picha zako zisitumike kwenye kitu chochote kinachohusiana na SportPesa ila ukishinda bonus ni lazima picha zako zitumike kwenye akaunti zao za mitandao ya kijamii.

Sijakuelewa hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…