Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mliokuwa mnashika no1 darasani mtusaidie kutuelewesha hapa cc wengine wa back bencher tumetoka patupu
Mbona kaeleweka tu sema katumia kiswahili chakisela kamaanisha ukila bonus unaweza kutangazwa tu kwenye picha kama iyo ila sio kuweka kwenye magazeti na vyombo vya habari tofauti na ukishinda jackpot yote watakutumia kwenye matangazo yao watakavyo.
 
Kwenye maelezo yako naona neno bunus lililobeba maana ya hoja ambalo yeye hajataja. Yupi hayupo sahihi kati yako na yeye.
 
LIV vs LEI GG/BTTS
WOL vs ARS GG/BTTS
NANTES WIN & Over 1.5
VALENCIA WIN & Over 2.5

Matokeo yakitokea hivyo wadau wawili watokee DM niwape mtaji wa wiki hii.
 
Kistaarabu acha nichill hapa... [emoji847][emoji847]View attachment 2115269
Niseme nini tena? [emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji91][emoji91][emoji91][emoji847][emoji847][emoji847][emoji91][emoji91][emoji91]

WON!! [emoji172][emoji172] WON!? [emoji3515][emoji3515] WON!! [emoji520][emoji520] WON!! 🟢🟢
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…