Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 19,009
- 22,509
🤔Wazee wa direct win bayern anawapa salamu
kwani wana covid hawa bayern?Bayern wenyewe hawaminiView attachment 2117446
Mimi nimeaka aahinde ina 12 atajua mwenyeweYaani ashinde au suruhu ana 5View attachment 2117458
Huyu kocha msimu ujao hana kazi hawezi kutugombanisha na kanji shenzi kabisabayern unachotufanyia wananchi wako sio poa kabisa
Bayern ni wazuri lakini tatizo lao kubwa wanaruhusu ssna kushambuliwa na opponet wao na kipaya zaidi Defence yao sio nzuri kivile ina makosa mengi sana.Hivi hawa bayern wana matatizo gani? maana naona wanapelekewa moto na kwa ninavojua watu wengi wameweka hela hao hapo
Another Saturday, another bad day
Zamalek ananichomea mkeka, game ya madrid yaelekea 0:0 hakuna cha over wala multiple/goal range
Kuna mkamara mmoja humu alishawah kusema jumamosi siyo siku ya kubet nakubaliana nae naunga MKONYO hoja
Bayern ni wazuri lakini tatizo lao kubwa wanaruhusu ssna kushambuliwa na opponet wao na kipaya zaidi Defence yao sio nzuri kivile ina makosa mengi sana.
Tupe tips mzeeNenda America Kusini, huko hela zinachotwa kama mchwa!
Tupe tips mzee
View attachment 2117092
Odds 5 hizo leo