tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 27,843
- 29,350
Ushindi wa MCHONGO.......match fixingJmn tuache kubet aisee ,hivi buyern ni WA kupigwa goli 4 kweli ,Bora hata ingekuwa 2-0 Sasa goli nne ???
Qmammake
Ushindi wa MCHONGO.......match fixingJmn tuache kubet aisee ,hivi buyern ni WA kupigwa goli 4 kweli ,Bora hata ingekuwa 2-0 Sasa goli nne ???
Qmammake
Kabisa, match fixing ileUshindi wa MCHONGO.......match fixing
Hii wiki sio poa kabisa aisee watu wanalia vibaya mnoWiki hii nimegalagazwa sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Wap mzee wa odds2.
SteveMollel
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
LEO NGOJA NITEMBEE NA HUU MKEKA WA JAMAAKubet sio mchezo wa uhakika wazee. Mimi leo nimejilipua kama ifuatavyo. Nifuate tuliwe wote:
View attachment 2118077
Mawazo yake yalikuwa UEFAJmn tuache kubet aisee ,hivi buyern ni WA kupigwa goli 4 kweli ,Bora hata ingekuwa 2-0 Sasa goli nne ???
Qmammake
Hii kikapu vp?Sportybet:
Basket - 20 Odds: BCEB1NW
Kwa maana hiyo umempiga Kanji ya supu tayari?Mm kwangu mukidi mukide nilimpa apate goal mbili+
Ni kipondo tu kwa kwenda mbeleHii kikapu vp?
mimi imekaa kichwani hadi naitumia kama PIN ya simuAngalizo kwa wale wanaotumia Betpawa. Ukiona namba hizi 60124815 zipo kichwani tafadhali pumzika, maana unakaribia kumalizia Hela zako zote. Talking from experience [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Tulia nimuingizie dawa polepole, endelea kunifatilia utapata cha kujifunza kwenye kamali! By the way asante mkuu[emoji120]Umemfurahisha tayari siyo hongera[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sina uhakika na hilo mkuu, kwakuwa sijawahi kukutana na hyo changamoto, huwa nikiwala wananijulisha soon na nafanya withdraw bila shida, maybe amount inakuwa ya kawaida coz sijawai kuzidisha laki4 kuwithdraw na inatoka mda huohuo.hawa jamaa huwa wanalipa ukiwala?!!...huwa nasikia ukishinda huwezi kuwithdraw hata uende kwa mganga wenyewe wanaruhusu kudeposit tu hata iwe bilioni 300 ila kutoa big NO