Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nalala nasubiri meseji ya hongera kutoka betika!! Hizo zilozobaki labda kanji akatoe kafala bombay, kichapo kiko palepale[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2117704
Mamaaaeeeeee....Hapa ndio utajua muhindi mchawi....estoril praia anakuja kupata goli moja dk ya 86 huku umeshaweka over 1.5 ....destination lost. Bora unge cashout tu
 
Mkuu! Umeamua kutumia card (VISA), je umesoma T&C's za payment method?

Sasa mimi nakukumbusha, njia uliyotumia kudeposit ndio iyo hiyo utatumia kuwithdraw.
Ukishinda hutaweza kutoa hiyo hela labda upande ndege uende Urusi.
Sawa mkuu, unanishauri nitumie njia gani kuweka na kutoa pesa bila kutumia wakala?
 
Utakuja kunishukuru baadae
Screenshot_20220213-151429_SportPesa.jpg
 
Mkuu! Umeamua kutumia card (VISA), je umesoma T&C's za payment method?

Sasa mimi nakukumbusha, njia uliyotumia kudeposit ndio iyo hiyo utatumia kuwithdraw.
Ukishinda hutaweza kutoa hiyo hela labda upande ndege uende Urusi.
Ataweza kutoa kwa 1xCash anachofanya ana-deposit hata 500 kwa wakala the 1xCash option itakuwa activated kwenye payments method na ataweza kuitoa.

Nasema hivi kwasababu mimi nilipofungua account yangu nilianza kuweka pesa kupitia Skrill na nikaitoa kwa wakala kwa kutumia hiyo njia.
 
Ixbet hawana makato mkuu, ila siku hizi mawakala wa mitaani wameona tunafaidi wameamua kuweka kodi yao isiyo rasmi
Wakala hatakiwi kuchukua kiasi chochote kwenye pesa yako. Wakala ninayemtumia anachukua jumla ya makato na tozo kutoka kwenye chart rasmi ya mtandao husika anatoa kwenye kiasi cha pesa yangu ndiyo anajua atume kiasi gani kwahiyo hapo siyo kwake wala kwangu haitazidi hata mia na huwa nina chart yangu nalinganisha, jamaa mpaka senti anatuma hivyohivyo.
 
Ataweza kutoa kwa 1xCash anachofanya ana-deposit hata 500 kwa wakala the 1xCash option itakuwa activated kwenye payments method na ataweza kuitoa.

Nasema hivi kwasababu mimi nilipofungua account yangu nilianza kuweka pesa kupitia Skrill na nikaitoa kwa wakala kwa kutumia hiyo njia.
Shukrani
 
Wazee tuwe makini leo sio siku nzuri. Spurs na AC Milan tayari wameishachana mikeka......na huyu Liver nina wasiwasi kama mzigo wake utafika salama.
 
Wakala hatakiwi kuchukua kiasi chochote kwenye pesa yako. Wakala ninayemtumia anachukua jumla ya makato na tozo kutoka kwenye chart rasmi ya mtandao husika anatoa kwenye kiasi cha pesa yangu ndiyo anajua atume kiasi gani kwahiyo hapo siyo kwake wala kwangu haitazidi hata mia na huwa nina chart yangu nalinganisha, jamaa mpaka senti anatuma hivyohivyo.
Tupe namba yake
 
Ac milan vs Sampdoria.. Away aongoze kucheza faulo 1.67. Zingatio leo ac milan anasaka ushindi akae kileleni.

Burnely na Liverpool.. lazima kupiga corner 6 si jambo la ajabu ukizingatia burnely ni wagumu home so liver ata push. Corner over 8.5 ..1.32

Tot vs wolves.. tot ana matokeo mabaya leo lazima ajitahidi walau ashinde home so ata push sana. Zingatio team nyingi za back three zinatumia full back. Corner over 8.5... 1.33

Atalanta na juventus corner 8.5 over 1.42

Total odds 4.16

Loss ac milan [emoji2361].. liver, tot, borrusia corner 9 wametoa
 
Back
Top Bottom