Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naomba kueleweshwa maana ya double chance na over sijui under
Double chance_ timu yoyote ishinde maana isipatikane sare yeyote au timu flani ishinde au ipate sare

Over_ yapatikane magoli zaidi ya,,,
MF, over 1.5 yapatikane magoli kuanzia 2 na kuendelea

Under,_ magoli kuanzia na kushuka
MF; under 2.5 yapatikane magoli 2 kushuka chini
 
Double chance_ timu yoyote ishinde maana isipatikane sare yeyote

Over_ yapatikane magoli zaidi ya,,,
MF, over 1.5 yapatikane magoli kuanzia 2 na kuendelea

Under,_ magoli kuanzia na kushuka
MF; under 2.5 yapatikane magoli 2 kushuka chini
Muelekeze vizur hapo kwenye double chance, asije akalipuka tu na 1 2 atapigwa achakae mapema sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…