Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna kengemaji wengine tukila na kupost humu wanakuja juu hawajui magumu gani tunapitia behind tukituma mikeka ya lost wanalike acheni ukuda. Nahitaji odds5 kuna20k yamwisho nataka nifunge weekend leo.
 
Kuna mtu aliniandikia email kwa kingereza kilichonyoka maana mimi nimesoma shule hiza kata kingereza changu utata mtupu.
Wamejibu wamesema wamelipokea swala langu na wanashughulikia. Majibu yaleyale ya kiroboti.
email yao ya general wanajibu wanasema wanafuatilia lkn ipo ya kiswahili pia hii ndio hawajibu kabisa

ambayo ni support-sw@22bet.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…