Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 19,009
- 22,509
Yeah nilijua ya nyumbani mkuu siku chek vizuri nimesha editAmesema away team mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini Kuna watu weekend hii wamepiga pesa mkuu, nafikir tamaa ya odds nyingi ndio inatugharimuUchawi upo mkuu, nasikia kuna majini yanatawala hii michezo
Rakims
Hakuna cha tamaa mkuu.Lakini Kuna watu weekend hii wamepiga pesa mkuu, nafikir tamaa ya odds nyingi ndio inatugharimu
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
N nn mkuu?Hakuna cha tamaa mkuu.
Hii michezo ni full uchawi mkuuLakini Kuna watu weekend hii wamepiga pesa mkuu, nafikir tamaa ya odds nyingi ndio inatugharimu
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Zinarudisha afya kwanzaBetting hatari
Kuna njemba nilikuwa sizioni kumbe nyingine zimejichimbia kule MMU hazitaki kabisa kurudi huku
Betting shops Wana lugha zinachanganya Sana.Nikisema AWAY TEAM OR GG/NG --- NO
Maana yake n nn?
Mkuu,kila mtu kala kichapo leo...mikeka yangu 1025 imechanika.....hapa nasubiria tuu mida ifike nione nyuchi ya Yule dada mgeni, aliyeahidi kumwaga lazi leo..... at least nita-refresh mind.Tangu mwaka umeingia nakula vipigo tu
Leo bayern katembea na laki nyingine pumbavu kabisa
Kabisa, [emoji23] ...hapa ulibaki mkeka wa mwisho.Fulham alikuwa ameshikilia mikeka yako 600+ [emoji1787][emoji1787]
Bro mikeka 1025????Mkuu,kila mtu kala kichapo leo...mikeka yangu 1025 imechanika.....hapa nasubiria tuu mida ifike nione nyuchi ya Yule dada mgeni, aliyeahidi kumwaga lazi leo..... at least nita-refresh mind.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu,kila mtu kala kichapo leo...mikeka yangu 1025 imechanika.....hapa nasubiria tuu mida ifike nione nyuchi ya Yule dada mgeni, aliyeahidi kumwaga lazi leo..... at least nita-refresh mind.
Mhindi mm nilishanyoosha mikono mkuu[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]habar za siku ndg yanguHakuna cha tamaa mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kila ukitega mhindi anaibuka mshindiUchawi upo mkuu, nasikia kuna majini yanatawala hii michezo
Rakims