Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nisaidie huu ujuzi Mkuu
Huenda ukanisaidia kumrudisha kanji kwao[emoji35][emoji35]Rakims
 
Mkuu wewe ndio yule mtaalamu wa elimu ya MAJINI?
Uliefundisha jinsi ya kuomba Majini yakuoteshe option za ushindi kwenye kubet?
 
Mungu ni mwema sana. Nilishasema humu siwezi kubet kihasarahasara. Japo Fulham walitaka kunipa presha lakini nimetoboa. Leo tena najilipua nawapa RS berkane
 
Leo nikikosa kupiga laki 3 navua nguo. Bado game moja tu ya Blackburn nimtie Diamond hasara ambayo hatakaa aijutie kamwe. Kama kawaida yangu, stake 1000 odds 300.
Mungu ni mwema sana. Nilishasema humu siwezi kubet kihasarahasara. Japo Fulham walitaka kunipa presha lakini nimetoboa. Leo tena najilipua nawapa RS berkane
We jamaa acha longo longo hapa
Mara bado Blackburn mara tena Fulham blah blah
Onyesha screenshot shot ya laki 3 won au vua nguo tuone korodani zako hapa kama ulivyo ahidi 😂😂😂😂😂

Hii ndio betting bana
Utanyooka tu na utaacha kuwakebehi wenzio wanao lost kama wewe

Screenshot please
 

 
Inashangaza mkamalia anaweka Jero anakula 25,000 au 30,000 halafu anatupia Mkeka wake humu jukwaani khaaaa!!!huo ni utoto,weka stake 50,000 au 100,000 au zaidi,kisha mpige Mhindi kuanzia Laki Mbili huko na kuendelea ndio tuwekee Mkeka hapa JF tuku-salute,sio mtu unakula ki-30,000 unatupia Mkeka JF kwa mbwembwe nyiiiiiiingi,utoto tu[emoji134]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…