Me pia niliwahi kupewa somo la odds isiyozidi 1.2 nikawaza ivi nikiweka laki moja kila siku si nitakuwa nalala na hela nzuri. Nikaapa moyoni ntajitahidi kuwa na nidhamu kwa hili nikaweka elfu hamsini ikazaa kama laki mbili hiviNmechaniwa mikeka na option ambazo zinaonekana 99% possible win.
Juz ilikua Juve "First goal to be own goal-No"
"No yellow card in first 5 mins"
"No goal in first 5 Mins"
Hizo ndo nlishangaa Sana
Wanaogopa matreniWakuu Mbona Meridian bet kila nikiandaa bet slip wanaifuta kabla ya kumaliza. Yan Kama ×3 hivi inajirudia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kubeti raha sana mkuu, yaani unapigwa na kesho unarudia tena, utapigwa na kesho utarudia tenaMe pia niliwahi kupewa somo la odds isiyozidi 1.2 nikawaza ivi nikiweka laki moja kila siku si nitakuwa nalala na hela nzuri. Nikaapa moyoni ntajitahidi kuwa na nidhamu kwa hili nikaweka elfu hamsini ikazaa kama laki mbili hivi
nikasema ngoja niweke laki mbili aise ilichukuliwa yote tena na odds ya 1.08( siku Algeria wanacheza na Siera leon ) niliweka over 0.5
Nikasema kimebaki na hamsini ngoja nikatafute hamsini nyingine iwe laki sasa niwe na nidhamu
Nikaweka first half chini ya goli mbili
Nikaweka timu mbili tuu
Kuna wehu wakafungana nne ndani ya dk 31..! Nikasema kimoyo moyo ivi kumbe walioanzisha haya mavitu hawajawahi kulogeka kirahisi
Kwisha habari iyo siku kanji aliniboa.
Hiyo option sitakuja niijaribuTulipofkia mbinu zimeisha imebak option ya odd or even. Hapo ni wewe na Mungu au mizimu yenu. Hakuna cha analysis.
Nimejua kumbe wanafunz wanabet karo! Wazaz wana wakat mgum sana!
Mimi siku hizi naweka tu hata historia nimechoka kuangalia maana vipigo ninavyopokea mpakaa kichwa imerukaTulipofkia mbinu zimeisha imebak option ya odd or even. Hapo ni wewe na Mungu au mizimu yenu. Hakuna cha analysis.
Nimejua kumbe wanafunz wanabet karo! Wazaz wana wakat mgum sana!
Utaratibu anaotumia bigboi. Ni mzuri sana,natamani angelikuwa anaweka games zote kwenye WON slip hata LOST slip tungejifunza mengi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kubeti raha sana mkuu, yaani unapigwa na kesho unarudia tena, utapigwa na kesho utarudia tena
Aisee huyo jamaa anabahati yake, options hizohizo wengine ni vichapo havitamaniki ni heri angekuwa anashare code labda na sisi tungeambulia kidogoUtaratibu anaotumia bigboi. Ni mzuri sana,natamani angelikuwa anaweka games zote kwenye WON slip hata LOST slip tungejifunza mengi.
Nasema ni mzuri kwa sababu jamaa anaingiza kingi na kupoteza kidogo,lets say leo kacheza SLIPS 2 zenye 10 odds @1. Mmoja WON na Mmoja LOST na SLIPS zote stakes zinafanana.
Kuna option ya kuitwa first to happen in 5 minutesOption ambayo mpak sasa naziona zinaangalau ya asilimia kubwa ya kushinda ni No goal from 0-5 minutes na hii option ya 1-6 multigoals, pia no red card first half. Zina odds ndogo ila ukiunganisha timu nne au tano huwezi kukosa 1.5 -2 odds.Tatizo wengi wanaweka mbupu ndogo za jero jero. Tungekuwa tunajitoa sadaka kama Tipmaster hela ingekuwa ya uhakika...weka 200k-500k hapa unasaka 1.4 odds tu unamla kanji kimya kimya
[emoji23][emoji23][emoji23] yaani ndo ubaya wa big stake ukipigwa mbili tu tayari kanji anakuwa amekumaliza kabisaNi hatar Mkuu, kwenye bet consistency ni ngumu Sana regardless unatumia option gan na strategy gan kwahyo ukisema urisk big stakes kwa options zenye risk ndogo na odds ndogo utafanikiwa lkn in short time, in long-run ukipigwa mara mbili tu ushatoka nje ya reli tayari
Hiyo option ya odds na even utapigwa hadi uchakae [emoji23][emoji23][emoji23]Tulipofkia mbinu zimeisha imebak option ya odd or even. Hapo ni wewe na Mungu au mizimu yenu. Hakuna cha analysis.
Nimejua kumbe wanafunz wanabet karo! Wazaz wana wakat mgum sana!
Ndo inakuaje??Binafsi me naona option iliyobaki nzuri ni hand cap kuna hand cap mbali mbali mfano corners, goli, dribbling na shoots ikoga poa sana imenipa nipa mpunga...!
Hasa ASIAN HANDCAP
Wakuu leo tena na dina marios kama una jamvi tupia tulie wote
Hivi mkuu mwanzilishi wa huu uzi alienda wapi?Mchawi mwingine wa wakamalia ni kubet KILA SIKU
Kwanza itakusababishia addiction mbaya sana ya kamari, Bet ina urahibu mbaya sana
Pili, kimsingi ukiingia ulingoni na Bookies round 12 lazima atatoka na ushindi wa round zote na ukibahatisha maybe 10/2, ukibet mara chache unapunguza vipigo na unaokoa visenti vyako
Na kwa muktadha huo huo wa vipigo mfululizo inafika mahali unakosa kabisa kujiamini na unaamini Bookies hawawezekani sababu ya vipigo unavyopitia kila siku..... hapo sasa unapoteza umakini wa kuchambua, unajibetia tu huku ukijisemea odd ya 1.05 inachana acha tu ni chague liwalo na liwe
Kwa usalama wa hela zetu tujitahidi kuweka ratiba ya kubet
Chagua timu yoyote kati ya hizo mbiliNdo inakuaje??