Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mi naona kuna muda matokeo yanatengenezwa sio bure...wiki kama mbili hivi betpawa jackpot tna nakumbuka mechi ya uturuki yaani timu ipo uwanjani lakin kwenye mkeka wangu wa jackpot nimewekea rangi nyekundu kwenye kibox yaan utabir wangu nimekosa na timu zipo uwanjan..nikasubir mpira uishe na kweli nikafungwa
 
Kitu nashindwaga kuweka Ni drow Yan hii Bora mniuwe .. maana najui nikiweka 3.5 under au 0.5 over au 1.5 over itabeba Ayo ma drow yenu .. but siwez kuona game kwenye mkeka ivi af ni click drow .. NEVER .. [emoji3]
Mi naona kuweka perfect score ni kujifanya Mungu ni mjombako! Siwez hata kuijaribu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huyu mwamba kwa mujibu wa profile yake hapa JF, last activities alizifanya Feb 2021

Hata wakati huo alikua hachangii chochote
Nadhani β€œameokoka” kubet πŸ˜‚πŸ˜‚
Hahaha bila shaka ana new ID. malalamiko ya kuomba mtaji kwa wadau yalimkimbiza
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu mwamba kwa mujibu wa profile yake hapa JF, last activities alizifanya Feb 2021

Hata wakati huo alikua hachangii chochote
Nadhani β€œameokoka” kubet [emoji23][emoji23]
Dah yaani kusoma comment yako nikacheka peke yangu huyu jamaa hebu tumtafute aje kutueleza kama bado anaendelea au ame acha.maana ame tuachia disaster na kama bado yupo kwenye game aje kwa Id yake ile ile nimpe elfu 50 ya bia.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kubeti raha sana mkuu, yaani unapigwa na kesho unarudia tena, utapigwa na kesho utarudia tena
Hiyo inaitwa addiction , usipobeti unapata arosto (withdrawal symptoms) , unapobeti mwili huwa unapata raha kipindi unasubiria matokeo na pale unaposhinda, huwa homoni ya dopamine (inakufanya ujisikie furaha sana) inatolewa kwa wingi so shauku huwa kubwa sana. Kanji akikupiga unaumia then arosto huja tena kutokana na kuimiss ile raha ya dopamine.

Hii ni cycle sawa na ya mtumiaji wa madawa ya kulevya, kuiacha ni ngumu sana. Unakuta hata matajiri ambao hawana shida ya pesa bado wanabeti ili kupata hiyo fun (raha).
 
Wajumbe , vp man city FC ata pita vyema Kwa crystal palace fc??? Au. Kanji kesho atasemaa aswaaaaaaahhhhh
 
Hapo kwenye under 3.5 ukiweka mzigo tu unashangaa first half tayari matokeo ni 2-1 unaanza kuhangaika kubana pumbu dk 45..hahaaa yaani ukicheki cashout unaona unavailable.
 
Hapo kwenye under 3.5 ukiweka mzigo tu unashangaa first half tayari matokeo ni 2-1 unaanza kuhangaika kubana pumbu dk 45..hahaaa yaani ukicheki cashout unaona unavailable.
[emoji1787][emoji1787] for real tho .. na iyo ndo maana ya betting it happens all the time .. nikuvumilia tu
 
Hapo kwenye under 3.5 ukiweka mzigo tu unashangaa first half tayari matokeo ni 2-1 unaanza kuhangaika kubana pumbu dk 45..hahaaa yaani ukicheki cashout unaona unavailable.
Ndiyo ilivyo maana kuna washenzi wa Israel huko nimewawekea under 4.5 ila mpaka dakika ya 60 washatwangana magoli matano dah ni noma aisee
 
Kweli kabisa doctor
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…