Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Shetani Baada Ya Kuona Wanaume Hatuumizwi Na Mapenzi Katuletea Biashara Ya Ku-bet.Ila we jamaa bwana[emoji23]
Kanji anautazama huu mkeka anasema vyema sana ewe kijana mzuri
Kumekucha...!!
SawaAcha kuchezea hela kirahisi hivyo
Huyu mwamba ana hali gani bado dk 35 man yu ashakula chuma hii ndo tunasema usimchezee kanjibai Sharubu [emoji23][emoji23][emoji23]
Direct win tena kwa man United ya sasa ni ujasiri wa kupigana na simba mwenye njaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mafii yanagonga chupi.
Nimepigwa 100k fouls over 25 wahuni wameishia 24 Ajax vs benficaDirect win tena kwa man United ya sasa ni ujasiri wa kupigana na simba mwenye njaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Easy...Huyu mwamba ana hali gani bado dk 35 man yu ashakula chuma hii ndo tunasema usimchezee kanjibai Sharubu [emoji23][emoji23][emoji23]
Shetani Baada Ya Kuona Wanaume Hatuumizwi Na Mapenzi Katuletea Biashara Ya Ku-bet.
Here We Go.
Ajax Win & Over 2.5
Kubeti ni sawa na mwanamke unaemfumania daily kuwa anatoka na wanaume wengine lakini huwezi kumuacha ,kila anapouumiza moyo wako unamsamehe na kumwambia kuwa tuanze upya labda kesho atabadilika