upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,089
- 4,535
Kilichobaki ni kusafiria nyota.mtoko wa leo huo....
Hii set ni ile halftime/fulltime hapo ndo nilipojichanganya.Roma hajaongoza kipindi cha kwanza..
Hii set ni ile halftime/fulltime hapo ndo nilipojichanganya.Roma hajaongoza kipindi cha kwanza..
Leo haujaweka wa magoli aiseh vp au upo maktaba unapekua?Leo najisikia kuiga tu.Anhaa, hapo sawa mkuu.
[emoji7] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Leo haujaweka wa magoli aiseh vp au upo maktaba unapekua?Leo najisikia kuiga tu.
Haya bwana...Yanga kaonesha uzalendo...HAWA Sauzi zii..Basi Shaktar upuuzi
Aisee huo wa 17/17
Aisee umewakosa kosa, halafu bila shaka ilikuwa mpunga mrefu sana hii ... maana naona odds zimechangamka balaa.
Tupia tuige.Leo magoli tuu 1.5
Win mmh!
Yakija km ya,Barcelona jana kitu n lose hamna,namnaLeo magoli tuu 1.5
Win mmh!
Hii si half time/full time au kichaa?na 1 ni (1/1) lakini Roma v Torino HT ilikua 0-1 so bet lost mkuu.next time jaribu bahati ila wewe ni mkali kichaa team zote hizo.
AS Roma alichanaje wakati ulimpa ushindi wa moja kwa moja na ametoa
FT: AS Roma 3 - 2 Torino.
Sio wa moja kwa moja.Hii si half time/full time au kichaa?na 1 ni (1/1) lakini Roma v Torino HT ilikua 0-1 so bet lost mkuu.next time jaribu bahati ila wewe ni mkali kichaa team zote hizo.
Kweli mkeka wako vizuri yani dakika moja tayariii ila wamezidiwa na meridian wanAkuwekea hela ya makato ukivuta.
Mi meridianbet siitumii mara nyingi, kutoa hela haisumbui lakini tatizo inachukua muda mrefu muamala kukamilika na kuja m-pesa. Ni zaidi ya saa 5.
Mimi natumia mkekabet, yani kuvuta hela ni fasta (hazifiki dk 5).
Daah! Mimi natumia M-BET, Ila kutoka jana nilivyoShinda,hadi sasa hivi bado hawaja nitumia Hela.......Wakiendelea hivi, M-BET nitawahama.Kweli mkeka wako vizuri yani dakika moja tayariii ila wamezidiwa na meridian wanAkuwekea hela ya makato ukivuta.