Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Inagoma kufunguka mkuu
Ina funguka mbona embu jaribu kulog in kwa kutumia browser tofaut na hiyo unayo tumia sasa ama kama unatumia app ya jf log off then log in ...attachments kuto kufunguka imekua n kero jf kwa sasa hao mods sijui hawa lioni ili tatizo
 
m bet wanatuma. sema wanachelewa sana leo. jana muhindi kaliwa sana.
 
Mtaji ukishindikana kupatikana hapa tena basi itabidi niende likizo kidogo ...



mtaji ukipatikana sitacheza tena stake chini ya 50,000/-
 
me hadi saiz naumia2 roho inaniuma sana, team7 jana kaniua fiorentina roho iliniuma sana maana niljua uhakika aubuh napitia livescore nakuta fiorentina kafa bas 295000 ikapepea ilee akat nilishapanga na kabajet kangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…