Hahahahaha sawa Mkuu kawaida tu chamsingi kujiamini basi inatosha na kuchunguza timu vizurihongera sana mkuu.. ila kitendo cha kuweka draw kinanifanya nikuheshimu kupita maelezo maana nahisi una roho ngumu hadi paka anasubiri miaka mia.. tangu nianze bet cjawahi kufikiria kuweka draw kabisa na siku ukiniona nimeweka ujue akaunti yangu wamehack au kidogo fuse kumkichwa zimeachia.. ila ww mkuu ni wakukunyooshea miguu kabisa sio mikono
Usiwaaminishe watu hivyo huu ni Mpira chochote kinatokea...Leo Nice na Freiburg win uhakika; ninaposema uhakika namaanisha uhakika
Ingia kwenye website yao au GoogleJamani nisaidieni no za m-bet niwapigie
Mkuu nimeingia hakuna namba e-mail hawajibuIngia kwenye website yao au Google
wapigie simuGame ya juzi j3 nilishinda hadi leo sijalipwa nifanyeje
Wapigie simu,Uwaulize/wakupe majibu? Ulitumia kampuni gani?Game ya juzi j3 nilishinda hadi leo sijalipwa nifanyeje
0762 768 500 / 0758 833 333.M-Bet Customer care.Jamani nisaidieni no za m-bet niwapigie
Punguza timu mkuu..tia mzigo mzito, leo kuna wale wa dutch jupiler league kwa option hio yako wanatoa sana pamoja na bundesliga 2, then kuna ile ligi ya austria, erste wale hua wanatoa GG.
Ahsante nimepata na nimeongea nae0762 768 500 / 0758 833 333.M-Bet Customer care.
Naona kayserispor anaongoza 2 dk ya 43Wadau leo mie natoka hivi las palmas win, corck city win, kayserispor half time draw, midtjylland under 3.5 goals.