Baba Kapompo
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 1,344
- 468
Psg ana draw
mi leo nimesikilzia tu, nasubiria kesho game zangu za france league 2, ligi inayofaa kwa 2+
Jamani PSG ananiua hivi hivi !
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Jamani PSG ananiua hivi hivi !
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Jamani PSG ananiua hivi hivi !
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Hahahahaaa polen wakuu acheni kuweka mikeka mirefu weka timu 2 tu zinatosha nina uwezo wa kuwa nawapatia timu 2 kila siku zitakazoshinda kama mtataka ntaweka hapa za kesho normal 2 na cap 2
Haalafu unatiaaa Laki....
Dah yaani huyu mshenzi PSG kachana zote, Real kamalizia yote pia
Kituo Cha Meridian Arusha ! Kitaua watu kwa magonjwa ya kuambukiza kwa njia ya Hewa . ! Sehemu ni ndo mnoo kulinganisha na Idadi ya watu waliomo ndani.
AC haiwaki., hakuna sehemu hata moja inayopitisha hewa , no Ventilation , wala Dirisha hata moja ! Feni za juu ziko mbili tu , ambazo nazo ziko kwenye spidi ya moja.
Hewa ni nzito mfano hakuna , yaani ni kama Tube ya Chupa ya Chai..!
Tahadhari, pale kuna uwezekano mkubwa wa kuamvmbukizana Magonjwa ya Hewa , hususani ' TB' wahusika chukueni hatua