subiri no dese
Jamani, hivi ni mimi tu au wote, nimeweka pesa Mkekabet asubuhi but up to now bado haijaingia...
Mie mzoefu kaka, sio kawaida yao aisee na sina salio kwenye Vodacom na mvua yanyesha siwezi toka ningewapigia.
Mbona mi niliweka asbh haikuchukua hata dk 5 ikaingia kwa account???
Umefuata zile procedure sawa sawa kaka ... hizi hapa
View attachment 343458
Mie mzoefu kaka, sio kawaida yao aisee na sina salio kwenye Vodacom na mvua yanyesha siwezi toka ningewapigia.
Hata mimi toka saa saba usiku haijaingia. Nimewapigia wanasema wanashughulikia.Jamani, hivi ni mimi tu au wote, nimeweka pesa Mkekabet asubuhi but up to now bado haijaingia...
Duh...hili jipu aisee.Hata mimi toka saa saba usiku haijaingia. Nimewapigia wanasema wanashughulikia.
Sawa mkuu ...
Betting for fun ... wale wazee wa 2+ & 3+
View attachment 343307
Don't take it seriously.
Atakayependezwa chambua weka stake ya wastani. Mi nimeweka Jero (500) just for fun today (ila nimechambua pia 😉😉 ligi zinazotoa magoli mengi nimechukua timu 1, 2 au 3).
mkeka no 1 umetiki weekend imeanza vyema
jiangsu suning 2-0
shangai SIPG 3-0
Nyota nyema
Wape wrote 2-6
hivi kwa mfano unechagua timu ishirini ktk meridian na ukabonyeza swehemu iliyo andikwa multbet then ukaweka ikawa 14/20 maana yake hapo inakuwaje? ni kwamba ikiwin timu 14 kati ya ishirini unakua umewin au hiyo inamaanisha kitu gani ahsant.Jamani, hivi ni mimi tu au wote, nimeweka pesa Mkekabet asubuhi but up to now bado haijaingia...
Kuna siku nimeweka 12/17.zikatiki 12 zote afu tano zikafa chakushangaza niliweka 1000 ikasoma 3m mkeka ulivowin nikapewa 1340 tu.kwa saiv nimeipotezea kwa mda mpaka nikiuelewahivi kwa mfano unechagua timu ishirini ktk meridian na ukabonyeza swehemu iliyo andikwa multbet then ukaweka ikawa 14/20 maana yake hapo inakuwaje? ni kwamba ikiwin timu 14 kati ya ishirini unakua umewin au hiyo inamaanisha kitu gani ahsant.
kwa sumve au yeyote yule mwenye jibu
Change version ingia website version utaikutawakuu kwangu sioni option ya deposit na withdraw au Ni kwangu tu
natumia meridian
shukrani mkuuChange version ingia website version utaikutaView attachment 343552
alaaa! huo utakuwa usengerema mwanza sasaKuna siku nimeweka 12/17.zikatiki 12 zote afu tano zikafa chakushangaza niliweka 1000 ikasoma 3m mkeka ulivowin nikapewa 1340 tu.kwa saiv nimeipotezea kwa mda mpaka nikiuelewa