Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkekabet wamezidiwa na watu...naona Queueing Model walio kuwa wanatumia ilikuwa first in first out...ila wako wengi sasa...inabidi wabadilishe queueing system...
Hahaaaaa hapa nimeongea kama economist.... Google queueing model uone aina zake ...afu uone ubora na hasara wa kila mfumo
Mbona naitumia hapa sema kwel inakuwa slow sana
 
Labda uishiwe damu tutajitolea. Si pesa mkuu.
 
Kanuni ya kwanza kabisa ya responsible gambling inasema bet what you can afford to loose.... Labda ntakuwa nimeacha wengine ... Kanuni ya kamari inasema "cheza unachoweza kupoteza" .... Kwamba hata "ukiliwa" majukumu yako hayatoyumbishwa..... Umekosea hiyo kanuni ..... Hatuna msaada ...ila kama unapoteza maisha kwa ajili ya Maji,figo ,damu ...tunaweza kufikiria pole sana....... Mtongoze tu fazahouse
Labda uishiwe damu tutajitolea. Si pesa mkuu.
 
Hapa sina cha kuongeza maana nimelike na ku quote...niki click kwenye like ili kuongezea ita unlike.
 
Wakuu nikiingia upande Wa magoli meridian nakutana na option ya 0-2 na 3+, nifanyeje ili nipate option ya 2+??? Msaada tafadhali
 
Jamani hii mkekabet vipi? mpaka saizi hela haijaingia washenzi hawa sijui wanampango gani.
 
Mkeka 2 no hivi
C.RIZESPOR-WIN
DINAMO MOSCOW -HAPA DRAW OR WIN anything can happen take your own risk
Shanghai SiPG-WIN
SHANGDON LUNENG- GG [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Nan alinifuata kwa kuchagua DRAW kwa Dinamo Moscow ili nimualike mvinyo......bet won.....huu mchezo hauhitaji hasira[emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…