Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nan alinifuata kwa kuchagua DRAW kwa Dinamo Moscow ili nimualike mvinyo......bet won.....huu mchezo hauhitaji hasira[emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83]
hii niliona nkajsemea moyon hii ndio betting [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
mkuu hapa bado Augsburg ila mm nilimuongeza Benfica na PSG


Bwana ee ... Augsburg ndio ameshikilia hatma yangu leo [emoji12][emoji12], je itampendeza nipate laki mbili au ataona bora mhindi achukue buku 5 yangu [emoji12]
 
Bwana ee ... Augsburg ndio ameshikilia hatma yangu leo [emoji12][emoji12], je itampendeza nipate laki mbili au ataona bora mhindi achukue buku 5 yangu [emoji12]
ahahaha roho mkononi,ila leo tutamlza uyu mhindi tu
 
M ntabet baada ya bwana mapesa kuleta kanuni yake ya kutuwezesha sisi ambao tumekua na nyta ya kuliwa dairy
 
ahahaha roho mkononi,ila leo tutamlza uyu mhindi tu


Huyu Augsburg nae ni jipu, atashindwaje kuwafunga Koln wakiwa pungufu toka dk ya 56 ?!!! af yuko nyumbani hata kagoli ka moja kwl??? (nawaza kwa sauti) [emoji12][emoji12][emoji12]

Sawa, kesho nayo ni siku.
 
Bwana ee ... Augsburg ndio ameshikilia hatma yangu leo [emoji12][emoji12], je itampendeza nipate laki mbili au ataona bora mhindi achukue buku 5 yangu [emoji12]
ilibaki Augsburg yenyewe michukue 230k
 
Jana ile team inayoongoza league finland imenichania mkeka yaani sina hamu
 
Me Middlesbrough jana kafanya niliwe elf 40 yangu, angeshinda ningepata jeuri ya mtaji mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…