Habar za asubuh
Jana nilibet nikamuwekea Fc Basel, Lyon na Barcelona kuwa wanashinda. Kuamka asubuhi ili nisubir mkwanja..... Naona empty
Ndiyo nimeanza kubet (bado si mzoefu).
Natumia app ya m bet nikiingia kwenye app yao na kuangalia TICKET HISTORY nakuta imeandikwa EXPIRED.
As shown kwenye picha. Naomben mnisaidie tatizo litakuwa wapi.
Asanteni!
Iyo blackjack ndo ikoje mapesa ufafanuz kidogoHAPA nipo kwenye blackjack meridian bet trying to recover loss ya leo as of now nna laki na nusu faida laki..ikifika laki 2 nalala.
Bet for happy. Leo natoka hivi wadau.
Palermo win
sassuolo wn
Inter win
Malmo ff win
Sparta praha win
Juventus win( take your own risk, Juve tayari ni bingwa.)
Angelhoms win
Telek Grozin win
Oviedo win
Hapo tupia 1000 tu. ukipata sawa ukikosa sawa.
Hii ina hafadhaliKila la kheri mkuu ila game nyepesi leo zipo league ya uholanzi. Mimi natoka hivi
Ajax win
PSV win
Feyernood win
Sasuolo win
Juventus win
Rostov win
Anzhi lose
Kila la kheri mkuu ila game nyepesi leo zipo league ya uholanzi. Mimi natoka hivi
Ajax win
PSV win
Feyernood win
Sasuolo win
Juventus win
Rostov win
Anzhi lose
Hivi hawa m bet huwa wanatumbukiza hela muda gani?