Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Yaaah mdau.... Upembuzi yakinifuMtoto wa nzi kumbe na wewe umeliona hilo.
bayern alinichania mikeka miwili week end. alibaki peke yake, ilibidi nicheke tu maana mchezo hautaki hasira huu.
Leo sijamuweka sehemu yeyote ya muhimu bali nimemuua kwenye mkeka huu kulipiza hasira zangu.
Bayern lose, Galway utd win, shanghai sipg fc win weka buku 2 tu ili usimalize mtaji kipumbavu.
ase c Jana nikafuata mfumo wako WA magoli 2-6 dadaq bado timu zinakatoa magol meng mno gefle anapigwa 6?????Daaah baada ya Nancy kufanya yake...ikabidi nirudi tu usiku nizuie magoli kipindi cha kwanza .... Lisizidi goli moja kipindi cha kwanza.... At least ka5000 kamerudi na faida....
m naona bora magoliPossible win sh. Ngap
m naona bora magoli kwa munichPossible win sh. Ngap
Hongera,,Fanya mpango uwe na kadi ,,unajima bonus ya maana saana Kwa mpunga wako,,,
Naipataje?Hongera,,Fanya mpango uwe na kadi ,,unajima bonus ya maana saana Kwa mpunga wako,,,
Nenda kwenye tawi lolote kubwa waambie wahudumu unataka ujisajili upewe kadi,,,,Naipataje?
na wewe unaweka 1000000?Bayern Munich 1&H2+ odds 1.95
Mechi moja tu
na wewe unaweka 1000000?
Odds zinatisha mkuu. [emoji87]Suwon Bluewings (kor) Lose
Tractor Sazi (irn) Win
Pakhtakor (uzbek) win
Limerick Fc Lose
Urawa (jpn) Win
Brattvag Lose
Wadau leo mm sijichoshi sana. Nimeingia darasani nimetoka na hilo tilio kwa 1000, likitiki mianne na inahusu. hao limerick wamepewa odds nyingi ila kumfunga Galway utd ni kazi sana.